black short
JF-Expert Member
- Nov 16, 2019
- 519
- 974
sijaimba kabisa mkuu ila mm ni msanii wa kuchora..Uliimna nyimbo zipii
Unamaanisha hujawahi kuchora mchoro mbaya as long as nimewataja wasanii sio wanamuziki. Rightsijaimba kabisa mkuu ila mm ni msanii wa kuchora..
hapo juu hawajazungumzia wanamuziki bali wasanii kiujumla hivo narudia kukazia kua "sijawahi kuimba nyimbo mbovu" licha ya kua sijawahi kuimba yoyote.
sijui ume-grasp my point!?
hapana michoro mibaya ipo tena mingi.Unamaanisha hujawahi kuchora mchoro mbaya as long as nimewataja wasanii sio wanamuziki. Right