mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
bro we mjanja mjanja umeangalia 'Breaking Bad'😂Siifahamu mara ya mwisho nimetazama series za kikorea 2016 baada ya hapo naona series zao wanaigiza vituko. Comedy zao za kitoto toto hata hazichekeshi. Nikaachana nao nikahamia kwenye Anime za wajapan. Wajapan wapo vizuri sanaaa basi tu hawana Airtime
Natamani kumuona Min ho kwenye character kama hii tena... Anakuwa so sexy akishikilia mguu wa kukuila 'city hunter' nisidanganye ilikua kali aisee.... [emoji23]
View attachment 2603032
Zina uputa mwingi 🤣🤣🤣acha umama bro 😂
Ni 🔥🔥🔥A man Called God
IRis 1& 2
Chuno slave hunter
Shine or Go crazy
wakorea kwenye mambo ya Thriller wako vyema
Eeh ni kweli ugali ndio wa muhimuwanafuata hela ilipo.... sisi hatununui tunaziiba mtandaoni
Ni jambo la kawaida na linatokea kila siku. Kuna series ya U.S inaitwa Altered Carbon yaani ni %45 pornographySasa hivi scene za kunyanduana kibao
Pole mkuu 🤣🤣Huwa mnawezaje kukaa na kuangalia movie na series wadau mbona mimi nimeshindwa kabisa nashindwa mi tofauti na michezo maigizo siwezi.
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Itafute hiyo VagabondSiifahamu mara ya mwisho nimetazama series za kikorea 2016 baada ya hapo naona series zao wanaigiza vituko. Comedy zao za kitoto toto hata hazichekeshi. Nikaachana nao nikahamia kwenye Anime za wajapan. Wajapan wapo vizuri sanaaa basi tu hawana Airtime
Tangu mwaka 2019 mpaka leoNa sijui kama wana mpango wa kuirudisha tena
Aisee 🤣🤣🙌Natamani kumuona Min ho kwenye character kama hii tena... Anakuwa so sexy akishikilia mguu wa kuku
💯best series of all time.... usinibishie kabla hujaiangalia....
View attachment 2603040
Bibie story zinanunuliwa hata wewe ukiwa na story yako check na Production company wakiipenda wanachukua. Ndio Maana kuna muvi nyingi sana zimetengenezwa Hollywood kwa story kutoka japan. Asikudanganye mtu wajapan wana story nzuri zaidi kuliko wakorea.Hao wazungu wako wanachukua idea korea wanapeleka uzunguni. Wakorea wako vizuri sana kwenye stories. Achana na za love stories tafuta za actions na horror
Bahati mbaya Six flying dragon sijaionaga mpaka leo ila najua ni kaliThe Veil
Six Flying Dragons
Deep Rooted Tree
Lee (Yi) Bang Won King of Tears
Slave Hunters
Kwakuwa Six Flying Dragons iligusia simulizi za kweli kuna baadhi ya characters ambao niliwakubali kama Yi Songye, Yi Bang Ji (Ddang Sae), Mu Hyul (alikuwa kabla ya kulitoa panga kwenye sheath anasema warrior Mu Hyul)
Royal Gambler
Hapa mwandishi wa Screenplay aliwaumba wahusika wake vizuri, kuna Baek Dae Gil, Yeoning , mfalme Sukjong, Yi In Jwa na yule binti ambaye alikuwa kwenye love triangle na Baek Dae Gil na Yeoning
dogo hadi wewe umesalute 😂 hataree....
Ina balaa piabest series of all time.... usinibishie kabla hujaiangalia....
View attachment 2603040