Kuna Watu hawafai jamani: Waliokaa chini wakatengeneza hizi Series nitawaheshimu siku zote

Mkuu, hii series sio poa
Mi zipo kwenye PC, ni kuangalia tu muda wote πŸ™ŒπŸ™Œ
 
Wakorea na waasia kiujumla siwakubali kabisa, napendelea vitu kama Terminal List, mambo ya Navy Seals na Black Ops. Aisee hapo hunitoi kabisa.
 
Mimi za mafarasi mapanga na mishale ndio za kwangu hizo. Hizi za watu wamekaa kwenye macomputer kama nikita nilikuwa nazipenda enzi za ujana wangu chuo. Baada tu ya kutazama spartacus basi nikahamia jumla kwenye mapanga GOT ndio ikanimaliza zaidi
Kama ndivyo itafute Athdal Chronicles (Igutu)

Utakuja kunishukuru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…