Kuna Watu hawafai jamani: Waliokaa chini wakatengeneza hizi Series nitawaheshimu siku zote

Kuna huyu mzee, kwa anavyoigiza scenes za uwaziri, muda mwingine uwaziri mkuu unaona kabisa anaenda extra miles kuonesha uwezo wake!
 
Aisew nimefika episode 5 nimeipenda sema muda sasa ndio sina. Yaani mchoko hata episode moja namaliza kwa mbinde.

[emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa si nlikwambia hiyo series kali ukabisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…