Anaitwa Cheok Sa Gwang, na ilibaki kidogo aondoke na kichwa cha Yi Bang Ji. Bila Mu Hyul kuja kumsaidia basi habari ya Yi Bang Ji ingeishia kule kule porini.Yule demu anatumia Gukhsan method anachinja ile mbayaa yaani ni shedaaah
Hollywood nili "beast" kwenye masuala ya movies (single na series). Wakorea wana-deal na convo sana mengine bado japo wanajaribu kwa kuja na series kama Island na nyinginezo ambazo zinatengenezwa na Dragon(s) Studio
Mimi za mafarasi mapanga na mishale ndio za kwangu hizo. Hizi za watu wamekaa kwenye macomputer kama nikita nilikuwa nazipenda enzi za ujana wangu chuo. Baada tu ya kutazama spartacus basi nikahamia jumla kwenye mapanga GOT ndio ikanimaliza zaidiSeries za mafarasi na mikuki ,mishale huwez nikalisha nikapoteza mda , nahtaji technological spy series
True....chuno niliikubali sana piaYes Chuno bonge moja la series. Story yake kali inaburudisha na kusikitisha. Yani slave hunter na jumong ndo 2 of my favorite korean series
Hujui vilivyo vizuri π€£π€£π€£πSeries za mafarasi na mikuki ,mishale huwez nikalisha nikapoteza mda , nahtaji technological spy series
Nilikuwa nshasahau kama avatar yangu nimeweka wazee wa slave hunter.Avatar yako inajieleza
Kwa upande Wa OST ni balaa, nikizisikiliza hadi nasisimka π₯π₯
IDK, ila naiona kwenye series za ki-Korea kama Alchemy of Souls, Island na Bulgasala (Immortal Souls)Dragon ni kampuni ya kichina?
Hayo mafarasi yanayokimbia ngidi ngidi ngidi ngidi hayo Kwa kweli hamnaa... Mi nahtaji za kijasusi Zaid , akili mingi na vyuma viwemo ndo naweza ketisha takoHujui vilivyo vizuri π€£π€£π€£π
Hapo walikuwa kwenye windo hatari la kwenda kumdaka mtaalamu song tae haNilikuwa nshasahau kama avatar yangu nimeweka wazee wa slave hunter.
My reign isn't over. My reign has just begun. Daenarys Taegaryn. Huyu dada namkubali sana. Kwenye GOT napenda every convo mleGame Of Thrones..
" I've been all over the world, my boy, and everywhere I go people tell me about the 'true gods', they all think they found the right one. The one true god is what's between a woman's legs. And better yet a queen's legs."
Kama the veil ππHayo mafarasi yanayokimbia ngidi ngidi ngidi ngidi hayo Kwa kweli hamnaa... Mi nahtaji za kijasusi Zaid , akili mingi na vyuma viwemo ndo naweza ketisha tako
Akiangalia The Veil atarudi tena kuipa heshima yakeKama the veil ππ
Hii series ni moto sana. Namkumbuka yile jamaa anawaambia huwa hawaamini wanasiasa mara tu jamaa baada ya kumwambia kuwa kuna deal la kwenda kumfuata yule general aliyetoroka. He was right maana lile deal lilikuwa batiliHapo walikuwa kwenye windo hatari la kwenda kumdaka mtaalamu song tae ha
Ila hio series nayo ni π₯π₯ππ
Mimi sikuipenda kabisa yaaniRoyal gambler ni nzuri, ila ilikuwa ina boa kwa mbaali
Yule demu anatumia Gukhsan method anachinja ile mbayaa yaani ni shedaaah
Hao wazungu wako wanachukua idea korea wanapeleka uzunguni. Wakorea wako vizuri sana kwenye stories. Achana na za love stories tafuta za actions na horrorOkopa sana mwanaume anayeangalia series za kikoreaπππ
Btw naunga mkono hoja
Jumong
Iris
3days
Kingdom of wind
Ni kati ya series safi kuwahi tengenezwa Korea. Hizi za sasa hivi upuuzi mtupu
Ile ina viji-part vyake vya mapambano kama pambano la The Cutter na Baek Dae Gil zaidi ya hapo kwingine ni kuvumilia tuMimi sikuipenda kabisa yaani
Waliondoka na idea ya A good doctor kumhusu daktari Park Si OhHao wazungu wako wanachukua idea korea wanapeleka uzunguni. Wakorea wako vizuri sana kwenye stories. Achana na za love stories tafuta za actions na horror