Kuna Watu hawafai jamani: Waliokaa chini wakatengeneza hizi Series nitawaheshimu siku zote

Wewe six flying dragon kwangu ndo series bora kabisa ya kikorea,ndani yake unapata haya
Siasa
Mapenzi
Muundo wa majeshi na ulinzi
Usaliti
Mikakati ya kuanzisha na kusimamisha dola
Nafasi ya watu katili katika ujenzi wa ulimwengu
Action bora kabisa
Tafuta series inaitwa Sambong , Jeong Do jeon
 
Shida sio lugha, tunapita huko kwenye PB na tunazipa heshima yake
 
Mwamba kazaa watoto watatu mapacha wasiofanana...
Hivi ile movie ya King Daemusin, mjukuu wa Jumong si yeye mwenyewe?
 
Jeong de jeon ni mshiriki kwenye tree with deep roots au hiden roots
Hii amekaa yeye kama yeye ameandikiwa story kuhusu struggle zake za kupambana kwenye siasa na akina Lee Inim. Na kipindi alichopigwa exile na kutolewa kwenye cheo cha kiserikali, hapa Yi Songye hayupo ila yupo rafiki yake Master Pong.

Kwenye hii uadui kati yake na watu waliohusika na Six Flying dragons bado.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…