Kuna Watu hawafai jamani: Waliokaa chini wakatengeneza hizi Series nitawaheshimu siku zote

afu sasa kama hamjagundua wakorea wameanza kuingiza elements za western kenye kazi zao mfano 'zombies' ili wafikie soko la western ndo kuna hela. angalieni hizi project
1. Squid Game
2. All of Us are Dead
3. Train to Busan(sio series😂)
4. Hellbound
5. Alice in Borderland
 
Kuna na hii inaitwa The kingdom ya kikorea
Kuna mazombi hatari.......sijawah penda movie ya mazombi ila hii series niliikubali 🔥🙌
 
Kuna kitu haujakielewa kuhusu wakorea, walibase na love story wakatoboa nazo wakasogea kwenye time travel japo wanasuasua ila wanazidi kusonga na at
Hata mim aisee sipendi movie za mapanga na mishale 😂😂
Tuwaone hapa
 
Ulimwenguni kuna Breaking Bad, PB, 24 , GOT na zingine nyingi ila baada ya kuji-subcategorise na sisi tumeangukia kwa wakorea (South)
 
Umesema kweli...hasa hizi za Netflix zina umagharibi mwingi na ile ladha kikorea inapungua. Ndio ujue tatizo sio lugha ni kwamba tunaopenda kdrama tumejikuta tu tunavutiwa na Korean culture
 
Okopa sana mwanaume anayeangalia series za kikorea[emoji125][emoji125][emoji125]
Btw naunga mkono hoja
Jumong
Iris
3days
Kingdom of wind
Ni kati ya series safi kuwahi tengenezwa Korea. Hizi za sasa hivi upuuzi mtupu

Vagabond nayo ni nzuri though ni ya 2019
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…