McCord
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 231
- 569
Ile ya Yemen hata mimi sikuielewa kwakuwa sikuona muunganiko wowoteWalitoa muendelezo wake Scofield kafungwa Yemen wakashindwa kuiendeleza mpaka leo tangu 2017 huko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ile ya Yemen hata mimi sikuielewa kwakuwa sikuona muunganiko wowoteWalitoa muendelezo wake Scofield kafungwa Yemen wakashindwa kuiendeleza mpaka leo tangu 2017 huko
Hilo neno nililoli-color silikubaligi hata kidogo, ungeweza kutumia neno lingine lakini sio hilo. SEE ile ya watu wasioonaSee ..hii ya Momoa (BABA VOS) ... Wasioona au SEE ipi ... Humu ni Korea Mzee ... Nnayo see mpaka s3 upo dingi ...
Si nimeandika hapo ya Momoa (Baba Vos) ...au hata star wa huyo series humjui umehadithiwa eti!!!Hilo neno nililoli-color silikubaligi hata kidogo, ungeweza kutumia neno lingine lakini sio hilo. SEE ile ya watu wasioona
Tal tal alipaswa awe sterling katika ile movie, sikuona umuhimu wa yule sterling kwanza dhaifu pia anapigwa hovyoYes ndio huyo alikuwa beneti sana na Bayan niliumia kweli alipokufa
Kali kinyama, japo sijawahi imaliza aiseeSijaiona vipi ni kali ?
Kaangalie queen seondeok, veil, my country, my name is, undercover, slave hunterA man called god Wala sikuipenda imejaa uongo mwingi
Dae Jo yeoungChuno[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Jumong[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Kingdom of wind[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Emperor of the sea[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Iljmae[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Queen sendeok[emoji91][emoji91][emoji91]
Gwangaeto[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Tazza [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
A man called God[emoji91][emoji91][emoji91]
City Hunter[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Iris[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Tree with deeep root[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
King face[emoji91][emoji91]
Six flying dragons[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Great king's dream[emoji91][emoji91]
Dar jo young [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Spain ndo nini ?Mkono wa netflix huo 🤣🤣, huko spain ndo balaa
Movie zao ukiangalia hata ukiwa peke yako tu unaona aibu
Basi nikimaliza Six flying nitaanza nayo ,maana mimi napenda zenye stori nzuri na siasa kali.Kali kinyama, japo sijawahi imaliza aisee
Yani alikuwa kichwa sana halafu very composed. Bayan ule ubabe wake ulifanya aogopwe kumbe master ni msaidizi wake😁Tal tal alipaswa awe sterling katika ile movie, sikuona umuhimu wa yule sterling kwanza dhaifu pia anapigwa hovyo
Spanish moviesSpain ndo nini ?
Au Spanish movies?
Uongo gani?A man called god Wala sikuipenda imejaa uongo mwingi
Ukimaliza hiyo,ntakutatajia nyingine mkuuBasi nikimaliza Six flying nitaanza nayo ,maana mimi napenda zenye stori nzuri na siasa kali.
Sanaaa zile OST nyingi za wakorea tamu zinasisimua na kuleta hali fulani ya huzuni.Avatar yako inajieleza
Kwa upande Wa OST ni balaa, nikizisikiliza hadi nasisimka 🔥🔥
Saana🔥🔥Sanaaa zile OST nyingi za wakorea tamu zinasisimua na kuleta hali fulani ya huzuni.
Naicheki now nipo episode ya 16.Dae Jo yeoung