Kuna watu hufa mara mbili

Kuna watu hufa mara mbili

Ila mochwari kunavituko sana halafu wale jamaa wa mle wanavuta bangi sana napombe ndomana akilizao haziko sawa tuliwahi kufata mwili wa jamaayetu mmoja tukakuta mlinzi wa mle anakunywa chai akiwa humokwenyechumba cha kuhifadhia maiti alipo funua friji ili tumwangalie mtu wetu kama niyeye chaajabu tulikuta ametunza papai kwenyefriji za kuhifazia maiti sasa nikajiuliza lile papai amelitunza ili badae ale au?yani hao jamaa walishabakiza akili za kuvalia nguo na kuvukia barabara

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

Ungejua sato toka mwanza wanasafirishwaje...!!!
 
Yapo ndio maana waliokamatwa waliochukuliwa hatua kwa kutoa mlungula

Aisee watu wengi watakua wamedhurika bila kujijua mana hao samaki waliokaa mda wanapotezaga ladha kabisa.
Mojawapo ya madhara yake kwa afya ni ka yapi?
 
Aisee watu wengi watakua wamedhurika bila kujijua mana hao samaki waliokaa mda wanapotezaga ladha kabisa.
Mojawapo ya madhara yake kwa afya ni ka yapi?

Cancer ya koo nafikiri na mfumo wa hewa ngoja wataalam wapite hapa
 
Haya najua JF ina members wengi na wa sekta mbalimbali, haya naamini hatuwezi kukosa wahudumu wa mortuary, hebu fungukeni kama ni kweli.
 
nakubalina na ww mtoa mada kwa asilimia mia haya mamb ypo mfano kuna msiba wa bibi mmoja ulitokea moshi bac saa ya kuaga watu wameaga ikawa imefika zamu ya bibi mmoja kuaga bac ile kufika pale kweny jeneza anatazama maiti tu ile mait ya yule bibi ikafumbua macho wakatazaman face to face then alipopita tu ile maiti ikaendelea kufumba macho...hii nilipata bahat ya kuwa shuhuda kwa tukio hili nilibahatik kulilikodi kweny video camera nilikuwa km camera man bac ckujua maana ya tukio hili kabisa ila nilijarib rewind hile mini dive na nikaona ni kweli yule bibi alifumbua macho kabixa ...
Unaweza kunitumia hiyo clips ili na mimi niamini kabisa
 
Mmmh shemeji nashukuru Mungu umenitag mchana maana mie thread zako huwa zinanipa hofu kufungua kwakweli.

Kumbe ndio maana wahudumu wa mochwari huwa wanakuwa kama wamerukwa na akili!! Sasa naanza kuelewa nature ya hizi thread zako, zimekaa kufa kufaaaaaa kumbe muda wote uko na wafu!
 
Last edited by a moderator:

sumbai asijue hili tafadhali
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom