Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
- Thread starter
- #181
Ila mochwari kunavituko sana halafu wale jamaa wa mle wanavuta bangi sana napombe ndomana akilizao haziko sawa tuliwahi kufata mwili wa jamaayetu mmoja tukakuta mlinzi wa mle anakunywa chai akiwa humokwenyechumba cha kuhifadhia maiti alipo funua friji ili tumwangalie mtu wetu kama niyeye chaajabu tulikuta ametunza papai kwenyefriji za kuhifazia maiti sasa nikajiuliza lile papai amelitunza ili badae ale au?yani hao jamaa walishabakiza akili za kuvalia nguo na kuvukia barabara
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Ungejua sato toka mwanza wanasafirishwaje...!!!