fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 2,977
- 3,798
Wengi sanaTbctaifa wanatangaza mpira wa ligi kuu na ile ya championship,hivi kuna watu bado,wanasikiliza mpira kupitia redio wakati Tv zimetapakaa kila kona?
Oh kumbe!Wengi sana
Unajua mimi kazi ilikuwa kutembea nchi nzima,na kwa miaka 12 nimetembea kila mkoa tena nikarudia kutembea kwa zaidi ya mara tano hivyo nimeona vijijini watu wakiangalia mpira kwa tvUna uhakika tv zimesambaa kila kona?
Ww kuwa na tv ya inch 16 uliyobandika ukutani haina maana wote wana tv mana n gharama kuzidi radio huko vijijini
Ukiwa dasilamu unaonaga nchi imeendelea sana , wengine wanasahau vijijini kwao wana share maji ya kunywa na punda kwenye ki dimbwi🤔🤔Una uhakika tv zimesambaa kila kona?
Ww kuwa na tv ya inch 16 uliyobandika ukutani haina maana wote wana tv mana n gharama kuzidi radio huko vijijini
Nchi nimetembea na hata niliwahi kutembea vijijini ndani ndani nilishangaa kukuta vibanda vinaonesha mpira kwenye kibanda cha nyasi,tv ya solaTatizo hujatembea Nchi nzima Hadi ndanindani huko vijijini.ukienda vijijino huko redio ndiyo sehemu pekee ya kupata habari.
Watu huko wanatembea km 30 kufuata maji/shule ndo aje aweze kumiliki tv na kisumbuzi chake, haiwezekani aisee.Ukiwa dasilamu unaonaga nchi imeendelea sana , wengine wanasahau vijijini kwao wana share maji ya kunywa na punda kwenye ki dimbwi🤔🤔
Kwahy hujakuta radio kabisa, mbona hata huko mjini Daslamu watu wakiwa kwenye shughuli zao wanatumia radio.Unajua mimi kazi ilikuwa kutembea nchi nzima,na kwa miaka 12 nimetembea kila mkoa tena nikarudia kutembea kwa zaidi ya mara tano hivyo nimeona vijijini watu wakiangalia mpira kwa tv
japo mimi sikai dar najua kuwa kuna vijiji bado havijaendelea lakini kuna maendele makubwa watu wana tv,zipo wamenunua wao,zipo wamenunuliwa na watoto wao lakini,hivyo vinavyoitwa vibanda umiza vipo vingi,na kuna watu wa mjini wamechukua hiyo fursa ya kutembea vijijini na tv na genereta kuonesha mpiraUkiwa dasilamu unaonaga nchi imeendelea sana , wengine wanasahau vijijini kwao wana share maji ya kunywa na punda kwenye ki dimbwi🤔🤔
Kabisa mimi sijaona kabisa watu au mtu anasikiliza mpira kwa redioWatu huko wanatembea km 30 kufuata maji/shule ndo aje aweze kumiliki tv na kisumbuzi chake, haiwezekani aisee.
Kwahy hujakuta radio kabisa, mbona hata huko mjini Daslamu watu wakiwa kwenye shughuli zao wanatumia radio.
Hata taa wanatumia za kukodi za solar yaani jua tulilopewa na Mungu unalinunuaNa nishakuta misururi ya watu mida ya usiku wakitembea kurudi makwao,nikawauliza mnatoka wapi,wakanibu wanatoka kuangalia mpira
Vipofu tv zinawasaidia nnTbctaifa wanatangaza mpira wa ligi kuu na ile ya championship,hivi kuna watu bado,wanasikiliza mpira kupitia redio wakati Tv zimetapakaa kila kona?