fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 2,977
- 3,798
- Thread starter
- #21
bro nchi nimetembea we acha tu,solar imesambaa ni balaa,kuna makampuni ya kuuza solar yamewapa kazi vijana waliomaliza vyuo vikuu,kuuza sola kwa mkataba na solar imesambazwa sana,nilipewa kazi ya mkataba kutembelea nchi nzima tena vijinini,nakuthibitishia solar imesambaa sanaMkuu kuna vijiji hamna umeme wala solar,kama unasema umetembe nchi nzima na wengi wana TV nadiriki kusema bado hujatembea umeishia tu kutembea mijini,mpenda soka kama hana tv lazima asikilize hata radio ili kujua matokeo na msimamo,mfano mdogo wewe hapo mjini umeme ukikatika,huna jenereta wala solar na mechi ya derby inachezwa je usingesikiliza radio?