Kuna watu kwa enzi hizi bado wanasikiliza mpira kupitia redio?

Kuna watu kwa enzi hizi bado wanasikiliza mpira kupitia redio?

Tbctaifa wanatangaza mpira wa ligi kuu na ile ya championship,hivi kuna watu bado,wanasikiliza mpira kupitia redio wakati Tv zimetapakaa kila kona?
Eti na wewe unavaa boksa suruali kuficha nyeti sasa kwa Akili si bora tu utembee bila hivyo vitu.
 
Tatizo hujatembea Nchi nzima Hadi ndanindani huko vijijini.ukienda vijijino huko redio ndiyo sehemu pekee ya kupata habari.
Kijiji gani hicho naomba unisaidie.... Watu tumezungukua mavijiji na mavijiji na mabanda umiza yapo na sola zipo... Mpaka visiwa vya ajabu ajabu huko .....
 
MAADUI WAKUBWA WA TAIFA 1961

1. UMASIKINI.
2. UJINGA.
3.MARADHI.

ILA KUNA MAADUI WAPYA WAMEONGEZEKA ZAIDI YA 7.
 
Tupo wengi, Mimi naishi daarusalaam Sina tv, kama Sina kiingilio kwny kibanda umiza, nasikiliza redio
 
MASHABIKI WA YANGA NDO WANASIKILIZA MPIRA KWENYE RADIO NDIO MAANA ILE PENATI NA PAMBA WALIKATAA SIO PENATI.
 
Kwa nini ndugu muhasibu?
Inakuwaje mtu unakosa hata akili ndogo ya kujua sababu ya kusikiliza mpira kupitia radio. Nadhani unaona hata comments za watu wakishangaa. Mbona sababu ni common kabisa?
Kuna kuwa mobile, safarini, njiani, au namna yeyote ile ukakosa access ya tv.
Sasa iweje huyu mwezetu aone kusikiliza radio ni kitu cha ajabu?
 
Tbctaifa wanatangaza mpira wa ligi kuu na ile ya championship,hivi kuna watu bado,wanasikiliza mpira kupitia redio wakati Tv zimetapakaa kila kona?
Nakumbuka sana mtangazaji wa Mpira enzi hizo redio tz ndg. Ezekiel Mwalongo... Unaweza kuzima tv ukasikiliza Mpira kwa redio... vijijini kulikuwa hakuna tv mashuleni, hivyo mnakaa getho na masela mnasikiliza kabumbu....
NB:
Mechi za Simbana Yanga kidogo Zina ladha kwenye tv ILA mechi za wakina Prison na Pamba ni afadhalikusikiliza kwa redio walahi
 
Hata ikifika hatua kila mtanzania akawa na tv na smart phone yenye uwezo wa kuonyesha mpira, bado umuhimu wa radio utaendelea kuwepo, dereva wa basi la masafa marefu, hawez kuendesha huku anaangalia mpira ila anaweza kuendesha huku anasikiliza mpira, pia waajiriwa sio rahisi kuacha kazi aangalie mpira kwenye tv/simu lkn anaweza kuendelea na kazi huku anasikiliza mpira kwenye radio
 
Lkn hata ulaya badogo wanasikiliza radio, huwa tunaona pale bingwa wa ligi atalazimika kupatkana mechi za mwisho, mashabiki wa mpira huendelea kuangalia mechi yao live uwanjani huku wakimsikilizia mpinzani kwenye radio, so umuhimu wa radio utaendelea kuwepo miaka nenda Rudi!
 
Watu huko wanatembea km 30 kufuata maji/shule ndo aje aweze kumiliki tv na kisumbuzi chake, haiwezekani aisee.


Kwahy hujakuta radio kabisa, mbona hata huko mjini Daslamu watu wakiwa kwenye shughuli zao wanatumia radio.
Jamaa mshamba ,limbukeni
 
Kwa diaspora mechi za bongo ni Youtube. TBC au Global/Imba nasi etc... ambazo ni kama radio.
 
Kaa ukijua duniani kote hakuna chombo cha habari kinachopendwa kama radio
Hadi dunia ya kwanza uko wanalijua ilo
ONHOOO!
 
japo mimi sikai dar najua kuwa kuna vijiji bado havijaendelea lakini kuna maendele makubwa watu wana tv,zipo wamenunua wao,zipo wamenunuliwa na watoto wao lakini,hivyo vinavyoitwa vibanda umiza vipo vingi,na kuna watu wa mjini wamechukua hiyo fursa ya kutembea vijijini na tv na genereta kuonesha mpira
Kwa mtazamo wako huko vijijin unakojinasibu ume fika je uwiano wa wenye TV na redio ume wahi kuangalia?

Hivyo vibanda umiza vinatosha kufeed demand ya wanakijiji wote?? Huja fika vijijin
 
Inakuwaje mtu unakosa hata akili ndogo ya kujua sababu ya kusikiliza mpira kupitia radio. Nadhani unaona hata comments za watu wakishangaa. Mbona sababu ni common kabisa?
Kuna kuwa mobile, safarini, njiani, au namna yeyote ile ukakosa access ya tv.
Sasa iweje huyu mwezetu aone kusikiliza radio ni kitu cha ajabu?
Illiteracy nchi hii ni kubwa saana
Hata wale wanaonekana wamesoma bado ni wajing kupitiliza
Wewe kama muhasibu ni rahisi kulijua Hilo maana unaishia na takwimu
 
Una duka lako na unauza mwenyewe, sina haja ya kuweka TV, ni mwendo wa radio tu. Mpira kwenye radio ni size yangu.
 
TBCtaifa wanatangaza mpira wa ligi kuu na ile ya championship.

Hivi kuna watu bado,wanasikiliza mpira kupitia redio wakati Tv zimetapakaa kila kona?
Naamini wanaosikiliza radioni ni wengi kuliko waliopo kwenye TV.
*Madereva
*daladala
*sokoni
*Barabarani (simu).
 
Back
Top Bottom