Kuna watu kwenye system wanatumia nguvu sana kumchafua Rais Samia, Mtafeli Samia ni chaguo la Mungu

Na nilichogundua wamefungua account juzi tu waje kumchafua Rais wetu. Watashindwa kwa jina Yesu. Nimepewa mamlaka ya kukanyaga nyoka,ng'e na adui muovu Nasambaritisha magenge na madhabahu zote za kishetani kwa jina la Yesu.
Amina
 
Mwingine huyu hapa!

Katafute malimao unywe kupunguza stress.

Raisi wetu kipenzi. Chaguo la Mungu. Mpenda haki. Mama Samia Suluhu Hassan.Anayechukia dhuluma yuko kazini. Tuko naye begakwabega.

King,uwe unanitagg nije ukiona wapumbavu kama hawa
 
Eti serengeti kuna madini kede kede na yaanze kuchimbwaa, duuuu nimeanza kushtukia huyu madam wenu!
Kwa hiyo unataka swala wale hayo madini?

Unajua ukubwa wa eneo la uhifadhi Tanzania? Au unaropoka kitu usichokijua.

Raisi amesema tuangalie opportunity cost...tuone chenye faida. Whats wrong with that?

Acheni hizo chuki zenu binafsi kwa mama. Mwacheni achape kazi. Kazi iendelee..
 
Ahahahahaha ni magazeti au viTV[emoji1787][emoji1787][emoji1787],raisi anayetumia akili[emoji23][emoji23][emoji23],hamna kitu hapo
Wasukuma wa aina yako mnatuaibisha sana sisi wasukuma wenzenu!

Wasukuma tunaonekana watu wa ajabu kabisa.

Hebu tuambie hoja yako ni ipi? Mama ana wiki tatu tu tangu awe raisi wewe umeona hafai...hiyo tathmini umefanya kwa vigezo gani kama siyo chuki tu!
 
Kumchafua Amiri Jeshi Mkuu ni UHAINI! Adhabu inajulikana.
 
Labda hujanifahamu toka awali..mimi sikatai urais wa SSH kwa mujibu wa katiba yenu lkn she n't my president kwa sababu hana uezo. Hata kiimani tu ni makosa makubwa kwa umma kuongozwa na mwanamke.
Hama nchi ukatafute rais wako.

Kama upo hapa Tanzania, uwe Mtanzania au Mnyarwanda au Mrundi basi huyu ndie rais wako utake usitake yaani kinguvu nguvu
 
King,uwe unanitagg nije ukiona wapumbavu kama hawa
Mkuu muwe mnaniita hawa jamaa lazima tuzae nao.

Hawawezi kumchafua Mheshimiwa rais wetu Mama yetu Samia Suluhu Hassan. Mungu amemchagua na Sisi tumemkubali kutokana na busara zake na hekma zake.

Mama afanye kazi na Sisi tutaacha tote tupambane nao hawa wehu.

King Bill
 
Mweeh mweeh mweee imbombo jilipo.
Amiri jeshi mkuu bi Swaumu.
Asante sana
 
Labda hujanifahamu toka awali..mimi sikatai urais wa SSH kwa mujibu wa katiba yenu lkn she n't my president kwa sababu hana uezo. Hata kiimani tu ni makosa makubwa kwa umma kuongozwa na mwanamke.
Imani ipi hiyo wakati mamaako nsiye aliye muongoza baba yako kukulea wewe ? Na ukae ukijua kuwa imani yako sio imani ya tanzania hivyo usitake tuamini imani yako , tanzania ni nchi isiyo na dini hivyo hatuwezi kuzingatia ujinga huo
 
Dawa inapenyeza penyewe. Ukabila ule pwaa! Tanzania yetu sote. 😜😜😜😜
 
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…