Waziri wa madini
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 379
- 466
Hakuna rais hapo ni utopolo mtupu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soon tu mtarudia wimbo wenu.Kuna watu baada ya Rais na Amiri jeshi mkuu Mh SSH kuanza uteuzi wa viongozi mbalimbali kuna watu roho zimewauma sana na wanatumia watu sana ili wamchafue Rais wetu kipenzi,
Kuna watu hawakutaka awe pale sasa watu wanajifanya kumkosoa sana na kundi linaloongoza ni lile kundi la mataga waliokua wanamuabudu mwendazake,
ni hivi SSH ndiye Rais na Amiri jeahi mkuu hamna cha kumfanya wala cha kubadili, genge la Mwendazake linajifanya linamuongoza mama aongoze nchi kama mwenda zake,
huyo mwenda zake alikuja tu kuvuruga hii nchi na hana ushujaa wwte ule,
sasa hivi kuna mataga wapya wamejazwa mitandaoni kwaajili ya kumchafua SSH
Mtakwama tu washenzi nyie,
Na ameshahakikishiwa ulinzi na papaa mukulu Generali CDF Mabeyo mkajinyonge sasa
Rais wetu ni Samia na tulichelewa sana kumpata mtu mwenye maono kama huyu, Mungu ambariki sana
Ambaye hapendi ahamie nchi nyingine au ajiue
over Roja
Ungeonesha ni wapi hilo kundi linamchafua Mh Rais tungekuelewa,lakini ulichokiandika ni taarabu iliyojaa mipasho pasipo na mifano ya kutetea hoja yako, Jumatatu shule zinafunguliwa,mrudi shule mtupunguzie mipasho humu!Kuna watu baada ya Rais na Amiri jeshi mkuu Mh SSH kuanza uteuzi wa viongozi mbalimbali kuna watu roho zimewauma sana na wanatumia watu sana ili wamchafue Rais wetu kipenzi,
Kuna watu hawakutaka awe pale sasa watu wanajifanya kumkosoa sana na kundi linaloongoza ni lile kundi la mataga waliokua wanamuabudu mwendazake,
ni hivi SSH ndiye Rais na Amiri jeahi mkuu hamna cha kumfanya wala cha kubadili, genge la Mwendazake linajifanya linamuongoza mama aongoze nchi kama mwenda zake,
huyo mwenda zake alikuja tu kuvuruga hii nchi na hana ushujaa wwte ule,
sasa hivi kuna mataga wapya wamejazwa mitandaoni kwaajili ya kumchafua SSH
Mtakwama tu washenzi nyie,
Na ameshahakikishiwa ulinzi na papaa mukulu Generali CDF Mabeyo mkajinyonge sasa
Rais wetu ni Samia na tulichelewa sana kumpata mtu mwenye maono kama huyu, Mungu ambariki sana
Ambaye hapendi ahamie nchi nyingine au ajiue
over Roja
Usiite binadamu mwenzako Mbuzi,acha utotoWewe mwenyewe mbuzi tu. Anyero
Namaanisha sasa hivi unaongea uhalisi na siyo kusifu na kuabudu mtu kama ulivyokuwa unafanya kipindi cha Jiwe, kingine kuwa mwana Ccm siyo dhambi au makosa lakini pia siyo tiketi ya kuwa mjinga, hapa namaanisha wale wanao behave kama headless chicken kisa tu wao ni Sisiemu/Mataga/WanyongeSikuelewi mkuu,mwanzoni nilikuwaje na sasa nikoje?Mimi Niko kawaida,Niko CCM,kamwe sitahama,sasa unaposemema akili Yangu imeanza kukaa Sawa sikuelewi
Ulitaka Rais wa kufoka foka?!!!Hamna rais hapo.
tutafitane baada ya mwaka mmoja.
Mama samia piga kazi ,nakukubali sana,walanguzi na wahujumu uchumi watakutambua tu.Namaanisha sasa hivi unaongea uhalisi na siyo kusifu na kuabudu mtu kama ulivyokuwa unafanya kipindi cha Jiwe, kingine kuwa mwana Ccm siyo dhambi au makosa lakini pia siyo tiketi ya kuwa mjinga, hapa namaanisha wale wanao behave kama headless chicken kisa tu wao ni Sisiemu/Mataga/Wanyonge
Anakabidhiwa, hutaki hama nchi... Mlidhani hii nchi ni Mali yenu eeeh#eti Tanzania ya magufuli#.... Wapuuzi nyie mtakufa kama alivyokufa dingi yenuHamna rais hapo
Naomba tu asikabidhiwe uenyekiti CCM
Kila mtu chaguo la mungu, huyo mungu hana kazi nyingine ni kuchagua tu viongozi wa ccm? Aisee.
mimi wa pili kusema hakuna RAIS
Hakuna raisi hapo,baada ya miezi mitatu mtarudi hapa na matusi kibao
Walikuwa wanapenda kuona tunawekwa kwenye viroba tunatupwa baharini, wasiojulikana ndo hao mataga mbwa.. Mama hataki dhurma na uonevuMpaka sasa najiuliza Huyu Mama amewakosea nini mataga.
Hakuna raisi hapo,baada ya miezi mitatu mtarudi hapa na matusi kibao
Wazandiki wakubwa nyinyi.
Na mubaki kuwa mashujaa wa mitandaoni tu. Mtumike kumchafua rais wetu kwa maslahi yenu.
Tukiwakamata ndio mtajua hili taifa lina mifumo yake na kamwe hatuwezi wachekea wazandiki.
Muacheni Mheshimiwa rais Mama yetu Samia afanye kazi.
Hehe hehe poleeee mlitaka yule muuwaji wenu aendelee kutuvimbia, Mungu fundi hawezi ona watu wake wanateseka sababu ya mbumbumbu mmoja.... Kwisha habari yake, Haya muongezeeni muda basi.... Na ule muda wa kukaa madarakani tunamuongezea mama.... Ukatili hauna nafasi awamu ya mamaHuna huo ubavu..urais wa peremende hauna misingi ndani ya mioyo ya watu..point blank.
Hawawezi uwezo wao ni mdogo upstairsKuna watu baada ya Rais na Amiri jeshi mkuu Mh SSH kuanza uteuzi wa viongozi mbalimbali kuna watu roho zimewauma sana na wanatumia watu sana ili wamchafue Rais wetu kipenzi,
Kuna watu hawakutaka awe pale sasa watu wanajifanya kumkosoa sana na kundi linaloongoza ni lile kundi la mataga waliokua wanamuabudu mwendazake,
ni hivi SSH ndiye Rais na Amiri jeahi mkuu hamna cha kumfanya wala cha kubadili, genge la Mwendazake linajifanya linamuongoza mama aongoze nchi kama mwenda zake,
huyo mwenda zake alikuja tu kuvuruga hii nchi na hana ushujaa wwte ule,
sasa hivi kuna mataga wapya wamejazwa mitandaoni kwaajili ya kumchafua SSH
Mtakwama tu washenzi nyie,
Na ameshahakikishiwa ulinzi na papaa mukulu Generali CDF Mabeyo mkajinyonge sasa
Rais wetu ni Samia na tulichelewa sana kumpata mtu mwenye maono kama huyu, Mungu ambariki sana
Ambaye hapendi ahamie nchi nyingine au ajiue
over Roja
Samia is the president by mistake , sio chaguo la watanzania wala la Mungu , asituchezee huyo Mtoa Mada na kichwa chake kama jeneza la mchawi mxieew
Siongei na wambea wambeaRaisi wa nani ? Ulimchagua wapi mbwa wewe??