SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Hivi nyie Wasukuma huyu Mama kawakoseeni nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sukuma Gang kwa nini wanamchukia Mama kiasi hiki? Kawakosea nini? Askofu Chidi na genge lako Mungu anawaonaMama samia piga kazi ,nakukubali sana,walanguzi na wahujumu uchumi watakutambua tu.
Wazandiki wakubwa nyinyi.
Na mubaki kuwa mashujaa wa mitandaoni tu. Mtumike kumchafua rais wetu kwa maslahi yenu.
Tukiwakamata ndio mtajua hili taifa lina mifumo yake na kamwe hatuwezi wachekea wazandiki.
Muacheni Mheshimiwa rais Mama yetu Samia afanye kazi.
Hayo ya Uzanzibari unayaleta wewe mkuu wangu.Sema unamtetea sana Mzanzibar mwenzio, lkn ukweli ndo huo, kuwa pale tuna kivuli cha Rais na sio Rais.
HahahahahahaHehe hehe poleeee mlitaka yule muuwaji wenu aendelee kutuvimbia, Mungu fundi hawezi ona watu wake wanateseka sababu ya mbumbumbu mmoja.... Kwisha habari yake, Haya muongezeeni muda basi.... Na ule muda wa kukaa madarakani tunamuongezea mama.... Ukatili hauna nafasi awamu ya mama
Mkuu tujenge nchi sasa.Mama muoga tu, anadai kufungulia vyombo vya habari kumbe danganya toto.
Nchi iko rehani now, huko mbele ni majanga kwa utumishi na resources zetu.
Muuaji labda ww na mimba ulizozitoa..Hehe hehe poleeee mlitaka yule muuwaji wenu aendelee kutuvimbia, Mungu fundi hawezi ona watu wake wanateseka sababu ya mbumbumbu mmoja.... Kwisha habari yake, Haya muongezeeni muda basi.... Na ule muda wa kukaa madarakani tunamuongezea mama.... Ukatili hauna nafasi awamu ya mama
Labda hujanifahamu toka awali..mimi sikatai urais wa SSH kwa mujibu wa katiba yenu lkn she n't my president kwa sababu hana uezo. Hata kiimani tu ni makosa makubwa kwa umma kuongozwa na mwanamke.Kifupi tu wenyewe mtaanza kufunga vinywa vyenu kwa sababu hata muongee SAMIA ndiye rais wenu na ndiye mwenyekiti wa CCM ajaye
Dah! Hivi kumbe Kuna mijitu mijinga Karne hii? Imani yako Baki nayo chumbani kwani inakusaidia wewe binafsi! Tanzania haina dini jombaa! Huyo ustaadhi aliyekufundisha kuwa mwanamke hawezi kuwa kiuongozi wako ukimuona mtwange ngumi kwani alikuongopea parefu! Unataka kusema madame President haijui Imani yake ipasavyo na amekiuka taratibu za dini yake? Hamka kwa wenye dini yako Basi, usichoshe watu hapa!Labda hujanifahamu toka awali..mimi sikatai urais wa SSH kwa mujibu wa katiba yenu lkn she n't my president kwa sababu hana uezo. Hata kiimani tu ni makosa makubwa kwa umma kuongozwa na mwanamke.
Sawa hamna tabu..pepo mnaitaka na ya dunia mnayataka..mtapasuka msamba!Dah! Hivi kumbe Kuna mijitu mijinga Karne hii? Imani yako Baki nayo chumbani kwani inakusaidia wewe binafsi! Tanzania haina dini jombaa! Huyo ustaadhi aliyekufundisha kuwa mwanamke hawezi kuwa kiuongozi wako ukimuona mtwange ngumi kwani alikuongopea parefu! Unataka kusema madame President haijui Imani yake ipasavyo na amekiuka taratibu za dini yake? Hamka kwa wenye dini yako Basi, usichoshe watu hapa!
Uko na hallucination! Pepo yako inaanzia ulipo na sio uendako! Unasoma msaafu upi wewe? Usiwe unakuja humu jf utaaibika!Sawa hamna tabu..pepo mnaitaka na ya dunia mnayataka..mtapasuka msamba!
endelea na mamayako..sihitaji kukushawishi zaidiUko na hallucination! Pepo yako inaanzia ulipo na sio uendako! Unasoma msaafu upi wewe? Usiwe unakuja humu jf utaaibika!
Hamna rais hapo.
tutafitane baada ya mwaka mmoja.
Mwingine huyu hapa!Hamna rais hapo.
tutafitane baada ya mwaka mmoja.
mimi usinitafte, kama jiwe aliweza kuongoza hii nchi kwa zile akili zake, atashindwa huyu mama smart kabisa?
Na mimi ni wa kabila lile.Mimi Ni wa kabila lile ila SSH is the best current president
Huyu Mama, Atastuka Usingizini 2025 Wakati Anakabidhi Funguo Za Ikulu.Eti kama humuwezi kusamehe kodi leteni huku juu tutasamehe! Enzi za mahotel kubadiri majina kila siku zimerudi asee.