Kuna watu kwenye system wanatumia nguvu sana kumchafua Rais Samia, Mtafeli Samia ni chaguo la Mungu

Kuna watu kwenye system wanatumia nguvu sana kumchafua Rais Samia, Mtafeli Samia ni chaguo la Mungu

Mh. Samia akijali maslahi ya watu badala ya vitu kama alivyofanya mwendazake basi atakuwa amejipambanua kama rais wa watu na siyo rais wa ndege, madaraja na mabarabara...na kama kuna kundi la wasaka tonge wamejipanga kumkwamisha kwa kumkejeli humu mitandaoni ili aonekane bogus tutakula nao sahani moja..
Na tumejipanga kupambana nao haswa.
 
Kama uko majuu mkuu kaa huko huko.
Chini ya Mwendazake watu walikuwa wanatekwa ili waweke sahihi za kukubali kunyang'anywa fedha zao, ama sivyo unafunguliwa kesi za uhujumu uchumi.

This is NOT ABOUT IDEAS its realtime State Robbery.
Kama huelewi bado njoo kipande hii na biashara yako leo kabla mataga hawajawa complitely neutralised.

Mna msifia mtu aliyekuwa tyrant and a quai-dictator.
Mkuu, wapi nimemsifia nani?

Unajua kusoma kwa ufahamu?
 
Niko pamoja na Mama Samia. Mungu wa Mbinguni akubariki na kukulinda sana Amiri Jeshi Mkuu. Hujaomba kuombewa; tunakuombea utake usitake maana peke yako huwezi.
 
Huna huo ubavu..urais wa peremende hauna misingi ndani ya mioyo ya watu..point blank.
Kifupi tu wenyewe mtaanza kufunga vinywa vyenu kwa sababu hata muongee SAMIA ndiye rais wenu na ndiye mwenyekiti wa CCM ajaye
 
Eti serengeti kuna madini kede kede na yaanze kuchimbwaa, duuuu nimeanza kushtukia huyu madam wenu!
 
  • Thanks
Reactions: mmh
Tundu Lissu huko aliko aombe appointment na akutane na Her Excellence. This is very important soonest.
 
Na nilichogundua wamefungua account juzi tu waje kumchafua Rais wetu. Watashindwa kwa jina Yesu. Nimepewa mamlaka ya kukanyaga nyoka,ng'e na adui muovu Nasambaritisha magenge na madhabahu zote za kishetani kwa jina la Yesu.
Hili la kufungua acount kwa ID mpya ni kweli nimeliobserve pia. Hawa walikuwa kwenye ile regime!
 
Watapata taabu sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wanaomdhihaki tunawaambia hiviii
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

Kama inauma Wachomoe [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Pole sana kamuone daktari maana nakuona hadi jasho la pumb* linavyokutoka.wewe utakua na undugu na wale waliotumbuliwa. Sasa kwa taarifa yako huyu ndo Rais wetu kipenzi cha Watanzania Rais asiyetumia nguvu na ubabe kuongoza nchi anatumia akili na hekima aliyojaliwa nayo kutoka kwa M/Mungu.
Ahahahahaha ni magazeti au viTV🤣🤣🤣,raisi anayetumia akili😂😂😂,hamna kitu hapo
 
Kuna watu baada ya Rais na Amiri jeshi mkuu Mh SSH kuanza uteuzi wa viongozi mbalimbali kuna watu roho zimewauma sana na wanatumia watu sana ili wamchafue Rais wetu kipenzi,

Kuna watu hawakutaka awe pale sasa watu wanajifanya kumkosoa sana na kundi linaloongoza ni lile kundi la mataga waliokua wanamuabudu mwendazake,

ni hivi SSH ndiye Rais na Amiri jeahi mkuu hamna cha kumfanya wala cha kubadili, genge la Mwendazake linajifanya linamuongoza mama aongoze nchi kama mwenda zake,

huyo mwenda zake alikuja tu kuvuruga hii nchi na hana ushujaa wwte ule,
sasa hivi kuna mataga wapya wamejazwa mitandaoni kwaajili ya kumchafua SSH

Mtakwama tu washenzi nyie,

Na ameshahakikishiwa ulinzi na papaa mukulu Generali CDF Mabeyo mkajinyonge sasa

Rais wetu ni Samia na tulichelewa sana kumpata mtu mwenye maono kama huyu, Mungu ambariki sana

Ambaye hapendi ahamie nchi nyingine au ajiue

over Roja
Mkuu mbona ushaanza kuchanganyikiwa mapema?
 
Hivi mnapata faida gani kuyajadili haya hata 40 haijaisha.Shida ni nini mbona mnampa tress na kutupa si wengine tress kana kwamba tutashindwa kuendeleza aliyoyaacha?
Nchi hii inakatiba tuweke rekodi sawa kwenye makusanyo ya mwezi huu yapoje?
Uluopita?.
Kama anaamini biashara zimekufa kwa sababu tra wanadai malimbikizo ya miaka 10 nyuma asiseme kuwa malengo ya sasa tra sio makusanyo ya sasa bali ni malimbikizo ya kodi.
 
Tangu lini Chadema wakaitakia mema ccm hadi wajipe kazi ya kumsifia rais Samia?
 
Hivi mnapata faida gani kuyajadili haya hata 40 haijaisha.Shida ni nini mbona mnampa tress na kutupa si wengine tress kana kwamba tutashindwa kuendeleza aliyoyaacha?
Nchi hii inakatiba tuweke rekodi sawa kwenye makusanyo ya mwezi huu yapoje?
Uluopita?.
Kama anaamini biashara zimekufa kwa sababu tra wanadai malimbikizo ya miaka 10 nyuma asiseme kuwa malengo ya sasa tra sio makusanyo ya sasa bali ni malimbikizo ya kodi.
40 ya nini sasa?
 
Back
Top Bottom