James Martin
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 1,206
- 1,509
Endelea kuota tu habithi wewe!safari hii litampata mwewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endelea kuota tu habithi wewe!safari hii litampata mwewe
Mtasema sana nyinyi wa kabila lile.mimi wa pili kusema hakuna RAIS
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kama musiba ameamua kubadili jinsia anajiita Veronica France kule Facebook [emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi Ni wa kabila lile ila SSH is the best current presidentMtasema sana nyinyi wa kabila lile.
Na bado mtasema sana tu
Pamoja sana mkuuMimi Ni wa kabila lile ila SSH is the best current president
Mataga kazi mnayo mwaka huu. Tuachie Rais wetu hameni nchi. Mlizoea kuumiza watu kibao kimegeuka[emoji23][emoji1476]Hamna rais hapo.
titafitane baada ya mwaka mmoja.
Mpo wengi marehem kaenda na hawez kurudi tuliebaki nae ndio huyu anaendesha nchi sasa.Kila mtu chaguo la mungu, huyo mungu hana kazi nyingine ni kuchagua tu viongozi wa ccm? Aisee.
Pole sana kamuone daktari maana nakuona hadi jasho la pumb* linavyokutoka.wewe utakua na undugu na wale waliotumbuliwa. Sasa kwa taarifa yako huyu ndo Rais wetu kipenzi cha Watanzania Rais asiyetumia nguvu na ubabe kuongoza nchi anatumia akili na hekima aliyojaliwa nayo kutoka kwa M/Mungu.Hakuna raisi hapo,baada ya miezi mitatu mtarudi hapa na matusi kibao
mwaka ni mrefu mno tayari wiki 3 hizi zimetoa mwelekeo sahihi kbs hapo hamna kituHamna rais hapo.
titafitane baada ya mwaka mmoja.
Kuna presidentHama nchi mzee [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Na nilichogundua wamefungua account juzi tu waje kumchafua Rais wetu. Watashindwa kwa jina Yesu. Nimepewa mamlaka ya kukanyaga nyoka,ng'e na adui muovu Nasambaritisha magenge na madhabahu zote za kishetani kwa jina la Yesu.Wazandiki wakubwa nyinyi.
Na mubaki kuwa mashujaa wa mitandaoni tu. Mtumike kumchafua rais wetu kwa maslahi yenu.
Tukiwakamata ndio mtajua hili taifa lina mifumo yake na kamwe hatuwezi wachekea wazandiki.
Muacheni Mheshimiwa rais Mama yetu Samia afanye kazi.
KwakweliMama SSH Rais wa JMT akishakabidhiwa uenyekiti wa CCM Taifa hapo ndipo itakapokuwa mwisho wa kidomo domo chao.
Mkuu, umenena vyema..Kuna watu baada ya Rais na Amiri jeshi mkuu Mh SSH kuanza uteuzi wa viongozi mbalimbali kuna watu roho zimewauma sana na wanatumia watu sana ili wamchafue Rais wetu kipenzi,
Kuna watu hawakutaka awe pale sasa watu wanajifanya kumkosoa sana na kundi linaloongoza ni lile kundi la mataga waliokua wanamuabudu mwendazake,
ni hivi SSH ndiye Rais na Amiri jeahi mkuu hamna cha kumfanya wala cha kubadili, genge la Mwendazake linajifanya linamuongoza mama aongoze nchi kama mwenda zake,
huyo mwenda zake alikuja tu kuvuruga hii nchi na hana ushujaa wwte ule,
sasaivi kuna mataga wapya wamejazwa mitandaoni kwaajili ya kumchafua SSH
Mtakwama tu washenzi nyie,
na ameshahakikishiwa ulinzi na papaa mukulu Generali CDF Mabeyo mkajinyonge sasa
Rais wetu ni Samia na tulichelewa sana kumpata mtu mwenye maono kama huyu, Mungu ambariki sana
ambaye hapendi ahamie nchi nyingine au ajiue
over Roja
endelea kuliwa kitumbua we habibtiEndelea kuota tu habithi wewe
MATAGA,SUKUMA GANG, Wasiojulikana!Kuna watu baada ya Rais na Amiri jeshi mkuu Mh SSH kuanza uteuzi wa viongozi mbalimbali kuna watu roho zimewauma sana na wanatumia watu sana ili wamchafue Rais wetu kipenzi,
Kuna watu hawakutaka awe pale sasa watu wanajifanya kumkosoa sana na kundi linaloongoza ni lile kundi la mataga waliokua wanamuabudu mwendazake,
ni hivi SSH ndiye Rais na Amiri jeahi mkuu hamna cha kumfanya wala cha kubadili, genge la Mwendazake linajifanya linamuongoza mama aongoze nchi kama mwenda zake,
huyo mwenda zake alikuja tu kuvuruga hii nchi na hana ushujaa wwte ule,
sasaivi kuna mataga wapya wamejazwa mitandaoni kwaajili ya kumchafua SSH
Mtakwama tu washenzi nyie,
na ameshahakikishiwa ulinzi na papaa mukulu Generali CDF Mabeyo mkajinyonge sasa
Rais wetu ni Samia na tulichelewa sana kumpata mtu mwenye maono kama huyu, Mungu ambariki sana
ambaye hapendi ahamie nchi nyingine au ajiue
over Roja
1. Mtu yeyote akiwa rais, atasemwq vibaya. This comes with the territory. Huwezi kuwa rais wa watu milioni sitini na kitu halafu usisemwe vibaya.Kuna watu baada ya Rais na Amiri jeshi mkuu Mh SSH kuanza uteuzi wa viongozi mbalimbali kuna watu roho zimewauma sana na wanatumia watu sana ili wamchafue Rais wetu kipenzi,
Kuna watu hawakutaka awe pale sasa watu wanajifanya kumkosoa sana na kundi linaloongoza ni lile kundi la mataga waliokua wanamuabudu mwendazake,
ni hivi SSH ndiye Rais na Amiri jeahi mkuu hamna cha kumfanya wala cha kubadili, genge la Mwendazake linajifanya linamuongoza mama aongoze nchi kama mwenda zake,
huyo mwenda zake alikuja tu kuvuruga hii nchi na hana ushujaa wwte ule,
sasaivi kuna mataga wapya wamejazwa mitandaoni kwaajili ya kumchafua SSH
Mtakwama tu washenzi nyie,
na ameshahakikishiwa ulinzi na papaa mukulu Generali CDF Mabeyo mkajinyonge sasa
Rais wetu ni Samia na tulichelewa sana kumpata mtu mwenye maono kama huyu, Mungu ambariki sana
ambaye hapendi ahamie nchi nyingine au ajiue
over Roja
Wanaomsakama Rais wetu tunao hao!1. Mtu yeyote akiwa rais, qtasemwq vibaya. This comes with the territory. Huwezi kuwa rais wa watu milioni sitini na kitu halafu usisemwe vibaya.
2. Ni kweli kuna watu wanamsakama Rais mpya kwa chuki bunafsi. Jana nime9na mtu mmoja kamsakama Rais kwamba hajui Kiingereza, kwa kutumia tweet ya jwanza aliyotuma. Tweet ina Kiingwrwza cha kupimwa kwa rula ya Oxford na Columbia School if Journalism. Nikamuukiza, hii tweet ya Kiingereza cha Dr. Henry Kissinger ina makosa gani? Tujadiki parts if speech, grammar, spelling etc, labda na mimi nitapata chavkujifunza katuka Kiingereza.
Jamaa alishindwa kuonesha kisa liko wapi.
Kumbe alimsakama rais kwa chuki binafsi.
3. Rais Hassan ni kweli alikuwa sehemu ya utawala uliopita, hivyo hawezi kuepuka lawama kwa mambo yakiyofany8ka katika utawala uliopita. Serikali si rais tu, serikali inaingizwa kwa "collectivw responsibility". Kwa hiyo, wanaotaka kumchambua na kumsema rais ni ruhusa kutumia haki yao ya kikatiba kufanya hivyo, ika, wamchambue na kumkisia jwa mambo yenye substance, si kwa uzushi na umbea usio kichwa wala miguu.
4.Tukitaka kumkosoa Rais mpya jwa yaliyopita, tukumbuke kitu kimoja.
Timing is everything.
Raus alijua, ukianza kumkosoa Jiwe mapema sana unaweza kuliwa kichwa kama Aboud Jumbe au Nape Nnauye.
Halafu analetwa muimba kwaya ya praise team kuku replace.
Ukichelewa sana unakuwa upande mbaya wa historia Jiwe anapoanguka.
Rais Hassan naona kamu wait out Jiwe mpaka Jiwe kaanguka, sasa Rais mpya anataka kuwahi kujiweka mbali na baadhi ya mambo ya Jiwe watu wajue alikuwa anapelekwapelekwa tu, lakini hakupenda.
Kwa ajili ya political survival yake ilibidi aende na ule muziki.
Kuna methali ya Kiingereza imeimbwa na Bob Marley katika "The Heathen" inasema "He who fights and run away, lives to fight another day".
We gotta pick our battles wisely. Tujue nani kashika mpini, nani kashika makali.
Mama alikuwa kashika makali kwa hiyo hakufurukuta sana. Sasa hivi kashika mpini anasema kwa uhuru.
5. Tukisoe kwa haki. Pia, tumtakie heri, kumshauri vizuri na kumpa nafasi rais mpya. Akishindwa kazi yeye tutaumia wote.