Kuna watu kwenye system wanatumia nguvu sana kumchafua Rais Samia, Mtafeli Samia ni chaguo la Mungu

Kuna watu kwenye system wanatumia nguvu sana kumchafua Rais Samia, Mtafeli Samia ni chaguo la Mungu

Wanaomsakama Rais wetu tunao hao!
Walidhulumu sana na wengi wako sysytem
Nasikia sasa hawaelewani.
Mimi siasa za Africa zinachonishinda ni msisitizo wa kujadili watu kuliko sera na hoja.

Kuna msemo "Small minds discuss people, average minds discuss events, great minds discuss ideas".

Granted, hata kwenye ideas kuna watu, na hivyo si rahisi kuacha kabisa kujadili watu.

Lakini naona Africa, Tanzania hususan, watu hawawezi kujadili ideas, wanaishia kujadili watu.

Ni hivi, Rais mpya ana mazuri, ana mabaya pia. Anaweza kusemwa kwa haki, au kwa chuki binafsi tu.

Sasa, ukijikita kutazama nani anamsema, bila kuangalia anamsema kwa hoja gani, unamkosoa mkosoaji kwa sababu yeye ni nani, si kwa sababu hoja yake haina nguvu.

Mkosoe mkosoaji kwa sababu hoja yake haina nguvu, si kwa sababu yeye ni team fulani.

Hata saa iliyosimama inakuwa sawa angalau mara moja kwa siku.

Huyo rais wanamsema kwa vitu vingine vya kijinga tu, kwa sababu waliyempenda kafa.

Lakini, mengine wanamsema sawa, kwa mfano, yeye alikuwa sehemu ya serikali iliyopita, alikuwa na maneno ya ajabu pia, alishawahi kusema wananchi wakiipigia kura au wasipoipigia kura CCM, CCM itashinda tu. Hii ni kauli ya mtu asiyeheshimu utawala wa sheria wala muonekano wake, ni kauli ya mtu mwenye uhakika wa kuiba kura.

Sasa mimi nikimsema kwamba huyu alikuwa sehemu ya tatizo utawala wa Magufuli utasema nakosea?
 
Na nilichogundua wamefungua account juzi tu waje kumchafua Rais wetu. Watashindwa kwa jina Yesu. Nimepewa mamlaka ya kukanyaga nyoka,ng'e na adui muovu Nasambaritisha magenge na madhabahu zote za kishetani kwa jina la Yesu.
Tena wamekuja kwa wingi mno.

Ndio hawahawa kina kawe alumni na jingalao na hawa wehu wengine
 
Yule aliyekuwa hawezi hata kutamka sentensi mbili za kiingereza ndio rais?

Aliyemuhonga demu wake Jokate ukuu wa wilaya ndio rais?

Anayegombania demu na Mtela Mwampamba ndio rais?

Aendelee kuoza anapostahili.
🤔 🤔 🤔 🤔
 
Kuna watu baada ya Rais na Amiri jeshi mkuu Mh SSH kuanza uteuzi wa viongozi mbalimbali kuna watu roho zimewauma sana na wanatumia watu sana ili wamchafue Rais wetu kipenzi,

Kuna watu hawakutaka awe pale sasa watu wanajifanya kumkosoa sana na kundi linaloongoza ni lile kundi la mataga waliokua wanamuabudu mwendazake,

ni hivi SSH ndiye Rais na Amiri jeahi mkuu hamna cha kumfanya wala cha kubadili, genge la Mwendazake linajifanya linamuongoza mama aongoze nchi kama mwenda zake,

huyo mwenda zake alikuja tu kuvuruga hii nchi na hana ushujaa wwte ule,
sasaivi kuna mataga wapya wamejazwa mitandaoni kwaajili ya kumchafua SSH

Mtakwama tu washenzi nyie,

na ameshahakikishiwa ulinzi na papaa mukulu Generali CDF Mabeyo mkajinyonge sasa

Rais wetu ni Samia na tulichelewa sana kumpata mtu mwenye maono kama huyu, Mungu ambariki sana

ambaye hapendi ahamie nchi nyingine au ajiue

over Roja
Haswaaaaa. Mkombozi wetu.
 
MATAGA ghafla wamenywea kama mkate wa boflo au mchicha unaochemshwa. Huyu ndiye Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania. Pokea salamu yake "Ninawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano" tunajibu "Kazi Iendeleee". Susi tinaendelea na kazi nyie mnaleta story za Wafu. Acha wafu wazikane maana wanasema "Acha Wafu Wazike Wafu Wao". Hayo mapambiyo kamwimbieni wafu wenu kaburini. Narudia kazi inaendelea tena vizuri mno kwa viwango.
 
Mimi siasa za Africa zinachonishinda ni msisitizo wa kujadili watu kuliko sera na hoja.

Kuna msemo "Small minds discuss people, average minds discuss events, great minds discuss ideas".

Granted, hata kwenye ideas kuna watu, na hivyo si rahisi kuacha kabisa kujadili watu.

Lakini naona Africa, Tanzania hususan, watu hawawezi kujadili ideas, wanaishia kujadili watu.

Ni hivi, Rais mpya ana mazuri, ana mabaya pia. Anaweza kusemwa kwa haki, au kwa chuki binafsi tu.

Sasa, ukijikita kutazama nani anamsema, bila kuangalia anamsema kwa hoja gani, unamkosoa mkosoaji kwa sababu yeye ni nani, si kwa sababu hoja yake haina nguvu.

Mkosoe mkosoaji kwa sababu hoja yake haina nguvu, si kwa sababu yeye ni team fulani.

Hata saa iliyosimama inakuwa sawa angalau mara moja kwa siku.

Huyo rais wanamsema kwa vitu vingine vya kijinga tu, kwa sababu waliyempenda kafa.

Lakini, mengine wanamsema sawa, kwa mfano, yeye alikuwa sehemu ya serikali iliyopita, alikuwa na maneno ya ajabu pia, alishawahi kusema wananchi wakiipigia kura au wasipoipigia kura CCM, CCM itashinda tu. Hii ni kauli ya mtu asiyeheshimu utawala wa sheria wala muonekano wake, ni kauli ya mtu mwenye uhakika wa kuiba kura.

Sasa mimi nikimsema kwamba huyu alikuwa sehemu ya tatizo utawala wa Magufuli utasema nakosea?
Kama uko majuu mkuu kaa huko huko.
Chini ya Mwendazake watu walikuwa wanatekwa ili waweke sahihi za kukubali kunyang'anywa fedha zao, ama sivyo unafunguliwa kesi za uhujumu uchumi.

This is NOT ABOUT IDEAS its realtime State Robbery.
Kama huelewi bado njoo kipande hii na biashara yako leo kabla mataga hawajawa complitely neutralised.

Mna msifia mtu aliyekuwa tyrant and a quai-dictator.
 
1. Mtu yeyote akiwa rais, qtasemwq vibaya. This comes with the territory. Huwezi kuwa rais wa watu milioni sitini na kitu halafu usisemwe vibaya.

2. Ni kweli kuna watu wanamsakama Rais mpya kwa chuki bunafsi. Jana nime9na mtu mmoja kamsakama Rais kwamba hajui Kiingereza, kwa kutumia tweet ya jwanza aliyotuma. Tweet ina Kiingwrwza cha kupimwa kwa rula ya Oxford na Columbia School if Journalism. Nikamuukiza, hii tweet ya Kiingereza cha Dr. Henry Kissinger ina makosa gani? Tujadiki parts if speech, grammar, spelling etc, labda na mimi nitapata chavkujifunza katuka Kiingereza.

Jamaa alishindwa kuonesha kisa liko wapi.

Kumbe alimsakama rais kwa chuki binafsi.

3. Rais Hassan ni kweli alikuwa sehemu ya utawala uliopita, hivyo hawezi kuepuka lawama kwa mambo yakiyofany8ka katika utawala uliopita. Serikali si rais tu, serikali inaingizwa kwa "collectivw responsibility". Kwa hiyo, wanaotaka kumchambua na kumsema rais ni ruhusa kutumia haki yao ya kikatiba kufanya hivyo, ika, wamchambue na kumkisia jwa mambo yenye substance, si kwa uzushi na umbea usio kichwa wala miguu.

4.Tukitaka kumkosoa Rais mpya jwa yaliyopita, tukumbuke kitu kimoja.

Timing is everything.

Raus alijua, ukianza kumkosoa Jiwe mapema sana unaweza kuliwa kichwa kama Aboud Jumbe au Nape Nnauye.

Halafu analetwa muimba kwaya ya praise team kuku replace.

Ukichelewa sana unakuwa upande mbaya wa historia Jiwe anapoanguka.

Rais Hassan naona kamu wait out Jiwe mpaka Jiwe kaanguka, sasa Rais mpya anataka kuwahi kujiweka mbali na baadhi ya mambo ya Jiwe watu wajue alikuwa anapelekwapelekwa tu, lakini hakupenda.

Kwa ajili ya political survival yake ilibidi aende na ule muziki.

Kuna methali ya Kiingereza imeimbwa na Bob Marley katika "The Heathen" inasema "He who fights and run away, lives to fight another day".

We gotta pick our battles wisely. Tujue nani kashika mpini, nani kashika makali.

Mama alikuwa kashika makali kwa hiyo hakufurukuta sana. Sasa hivi kashika mpini anasema kwa uhuru.

5. Tukisoe kwa haki. Pia, tumtakie heri, kumshauri vizuri na kumpa nafasi rais mpya. Akishindwa kazi yeye tutaumia wote.
Well said kaka mkubwa.

Very well said kiranga.

Atakae na aelewe
 
Mkuu mwacheni JPM apumzike kwa amani,si kila kitu mumuandamanishe nacho,lakini JPM aliwahi kusema,binadamu mwenye husda hata ukiwa unaoga maji yeye atasema unamtimlia vumbi,JPM kashajiendea zake,tumwache apumzike .Rais aliyepo naye aendeleze na kurekebisha pale anapohisi mtangulizi wake aliyumba,ni hayo tu
Mtangulizi wake ameacha legacy chafu ambayo haijapata kutokea tangu tupate uhuru
 
Woyooo
Kuna watu baada ya Rais na Amiri jeshi mkuu Mh SSH kuanza uteuzi wa viongozi mbalimbali kuna watu roho zimewauma sana na wanatumia watu sana ili wamchafue Rais wetu kipenzi,

Kuna watu hawakutaka awe pale sasa watu wanajifanya kumkosoa sana na kundi linaloongoza ni lile kundi la mataga waliokua wanamuabudu mwendazake,

ni hivi SSH ndiye Rais na Amiri jeahi mkuu hamna cha kumfanya wala cha kubadili, genge la Mwendazake linajifanya linamuongoza mama aongoze nchi kama mwenda zake,

huyo mwenda zake alikuja tu kuvuruga hii nchi na hana ushujaa wwte ule,
sasa hivi kuna mataga wapya wamejazwa mitandaoni kwaajili ya kumchafua SSH

Mtakwama tu washenzi nyie,

Na ameshahakikishiwa ulinzi na papaa mukulu Generali CDF Mabeyo mkajinyonge sasa

Rais wetu ni Samia na tulichelewa sana kumpata mtu mwenye maono kama huyu, Mungu ambariki sana

Ambaye hapendi ahamie nchi nyingine au ajiue

over Roja
 
Mh. Samia akijali maslahi ya watu badala ya vitu kama alivyofanya mwendazake basi atakuwa amejipambanua kama rais wa watu na siyo rais wa ndege, madaraja na mabarabara...na kama kuna kundi la wasaka tonge wamejipanga kumkwamisha kwa kumkejeli humu mitandaoni ili aonekane bogus tutakula nao sahani moja..
 
Mkuu naona akili zimeanza kukukaa sawa baada ya Jiwe kudondoka, kumbuka siku zote Mungu ni fundi asingekubali Tz itawaliwe na dikteta.
Sikuelewi mkuu,mwanzoni nilikuwaje na sasa nikoje?Mimi Niko kawaida,Niko CCM,kamwe sitahama,sasa unaposemema akili Yangu imeanza kukaa Sawa sikuelewi
 
Back
Top Bottom