Kuna watu mwezi huu wanatumiana jumbe za simu za namna hii

Right Marker

Senior Member
Joined
Apr 30, 2018
Posts
194
Reaction score
625
MASIHARA!
Kuna watu mwezi huu (mwezi wa mfungo) wanatumiana jumbe za simu za namna hii licha ya kwamba na wenyewe wanashiriki mfungo.

Mwanaume:👁️‍🗨️ "Baby tukimaliza kufuturu, mida ya saa moja na nusu tuonane pale pale pa' siku zote".

Mwanamke:👁️‍🗨️ "Mh sawa. Ila tusitumie muda mrefu ili niwahi kuandaa daku maana juzi ulinichelewesha".

Shetani:👁️ "He nyinyi wanadamu subiri mfungo upite jamani".
 
Ni kufanya tu mijitusi jumla na rejareja
 
Sms tu unashangaa...?!

Muda huu wa jioni hapa nimekaa karibu na waumini mmoja amevaa kanzu, wanapiga story wakisubiri muda wa kufuturu...!

Cha ajabu nimeshangaa wanasimuliana habari za mademu na jinsi walivyokuwa wanalala nao! Wanaangalia porn video kwasiri, na picha za ovyo! Sasa nikawa najiuliza, mtu umefunga, alafu unashabikia zinaa na kufurahia, sasa wewe umefunga nini njaa au?!

Nimegundua watu wengi wanaogopa kutokufunga kuliko kuogopa zinaa na machafu mengine! Muda huu adhana imelia wameenda kufuturu! Kazi kweli kweli...!

Adios Amigo!
 
Hii dini bana, halafu wengi wasichokijua, wanachokifanya sio mfungo ila walibadilisha muda wa kula, maana usiku wanafakamia chakula na kugegedana balaa.
 
MASIHARA!
Kuna watu mwezi huu (mwezi wa mfungo) wanatumiana jumbe za simu za namna hii licha ya kwamba na wenyewe wanashiriki mfungo.

Mwanaume:👁️‍🗨️ "Baby tukimaliza kufuturu, mida ya saa moja na nusu tuonane pale pale pa' siku zote".

Mwanamke:👁️‍🗨️ "Mh sawa. Ila tusitumie muda mrefu ili niwahi kuandaa daku maana juzi ulinichelewesha".

Shetani:👁️ "He nyinyi wanadamu subiri mfungo upite jamani".
Shetani atakua CCM huyo
 
Nyani Ngabu uache. Subiri mfungo upite.
 
Back
Top Bottom