Right Marker
Senior Member
- Apr 30, 2018
- 194
- 625
Ni kufanya tu mijitusi jumla na rejarejaMASIHARA!
Kuna watu mwezi huu (mwezi wa mfungo) wanatumiana jumbe za simu za namna hii licha ya kwamba na wenyewe wanashiriki mfungo.
Mwanaume:👁️🗨️ "Baby tukimaliza kufuturu, mida ya saa moja na nusu tuonane pale pale pa' siku zote".
Mwanamke:👁️🗨️ "Mh sawa. Ila tusitumie muda mrefu ili niwahi kuandaa daku maana juzi ulinichelewesha".
Shetani:👁️ "He nyinyi wanadamu subiri mfungo upite jamani".
Hatari😅😅😅Kuna wachungaji au mashekhe na watumishi wao wanaandikiana sms kama hivi:
"Hakikisha humwambii mtu kuhusu haya mahusiano,nitachafuka sana mwenzio, please babe"
Shetani atakua CCM huyoMASIHARA!
Kuna watu mwezi huu (mwezi wa mfungo) wanatumiana jumbe za simu za namna hii licha ya kwamba na wenyewe wanashiriki mfungo.
Mwanaume:👁️🗨️ "Baby tukimaliza kufuturu, mida ya saa moja na nusu tuonane pale pale pa' siku zote".
Mwanamke:👁️🗨️ "Mh sawa. Ila tusitumie muda mrefu ili niwahi kuandaa daku maana juzi ulinichelewesha".
Shetani:👁️ "He nyinyi wanadamu subiri mfungo upite jamani".
Sio wa kamanda kiongozi 😹Juzi alinitumia hivi na ni mke wa mtu sumu
"Imagine slow sëx, deep kïṣṣîng, heavy rain 🌧 cool music & no cõņdôm."
Kamanda ganSio wa kamanda kiongozi 😹
Jitoe akili m nasubili Uzi nilikua na mke wa kamanda 😹😹🙌🏾 tukupe poleKamanda gan
UongoJitoe akili m nasubili Uzi nilikua na mke wa kamanda 😹😹🙌🏾 tukupe pole
Upi Tena😹Uongo
Nyani Ngabu uache. Subiri mfungo upite.MASIHARA!
Kuna watu mwezi huu (mwezi wa mfungo) wanatumiana jumbe za simu za namna hii licha ya kwamba na wenyewe wanashiriki mfungo.
Mwanaume:👁️🗨️ "Baby tukimaliza kufuturu, mida ya saa moja na nusu tuonane pale pale pa' siku zote".
Mwanamke:👁️🗨️ "Mh sawa. Ila tusitumie muda mrefu ili niwahi kuandaa daku maana juzi ulinichelewesha".
Shetani:👁️ "He nyinyi wanadamu subiri mfungo upite jamani".
Siachi.Nyani Ngabu uache. Subiri mfungo upite.