Kuna watu ni ma"pro" kwenye kuendekeza ujinga! Pumbavu wale

Kalaga Baho Nongwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2020
Posts
9,953
Reaction score
23,150
Wakuu nina imani mnaendelea kupambana.

Nimeshangaa sana kukutana na watanzania wachovu kufikiria kama wale. Wale wazee ni watu wa pwani, wamefikishana mahakamani wanagombea mpaka. Eti wamedhulumiana futi tatu kila mmoja anasema ya kwake. Pamoja na zile futi tatu hazina uwezo wa kuhimili ujenzi hata wa banda la kuku lenye akili..

Kwenye ugomvi ule umetumika uchawi hapo kwa waganga Tanga na bagamoyo mpaka aibu. Kila mtu anataka kushinda kesi ile na kamwaga kama milion 3 hiv kwenye miti shamba. Hatimae mtu anashinda kesi anadai fidia laki 5 na hapohapo anaenda kuchawia kwa mganga eti alieshindwa kesi akose hela ya kulipa ili waendelee kupigizana makelele

kile ni kiwango cha lami cha wehu!. Ina mana watu wa pwani mambo ya msingi hawayaoni au? na ni kweli, masuala ya maendeleo hawa watu watayasikia kwenye taarifa ya habari tu. Pumbav kabisa

Mjadala uendeleee
 
Sijawahi kuona watu wenye hususa,wivu,binafsi na wakatili kama watu wa pwani hawa si watu aiseee
 
Kisa nn? Kuna mtu niliwh kuona anamfkoea mtoto mdogo wa miaka sita kwa nn kamfata mwanae wakacheze. Kale katoto nilikaonea huruma.. bidada la kizaramo linamuuliza katoto ka watu maswali magumu kweli kweli kwamba hakuona watoto wa kucheza nao mtaa wote mpaka mwanae tu
Nina ujirani na mpemba mmoja, huyu bwana hadi watoto wake kawapiga ban Kucheza na watoto wangu. Yani kifupi ni mbinafsi mno.
 
sio kwamba nakashifu watu wa pwani hapana ila

watu wa pwani wengi wanaujinga mwingi sana

unakuta wazee wakizanzibar wanatukana matusi kama vijana wa miaka 20s hivi

kwakweli nimeishi tabora,mbeya,singida,dar,

sijawahi ona sehemu ina wazee wa ovyo kama zanziabar
 
Kisa nn? Kuna mtu niliwh kuona anamfkoea mtoto mdogo wa miaka sita kwa nn kamfata mwanae wakacheze. Kale katoto nilikaonea huruma.. bidada la kizaramo linamuuliza katoto ka watu maswali magumu kweli kweli kwamba hakuona watoto wa kucheza nao mtaa wote mpaka mwanae tu
Huyu mtu tuna fanya kazi taasisi moja, nahisi mambo ya ofisi analeta mpaka nyumbani.
 
Back
Top Bottom