Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
Wakuu nina imani mnaendelea kupambana.
Nimeshangaa sana kukutana na watanzania wachovu kufikiria kama wale. Wale wazee ni watu wa pwani, wamefikishana mahakamani wanagombea mpaka. Eti wamedhulumiana futi tatu kila mmoja anasema ya kwake. Pamoja na zile futi tatu hazina uwezo wa kuhimili ujenzi hata wa banda la kuku lenye akili..
Kwenye ugomvi ule umetumika uchawi hapo kwa waganga Tanga na bagamoyo mpaka aibu. Kila mtu anataka kushinda kesi ile na kamwaga kama milion 3 hiv kwenye miti shamba. Hatimae mtu anashinda kesi anadai fidia laki 5 na hapohapo anaenda kuchawia kwa mganga eti alieshindwa kesi akose hela ya kulipa ili waendelee kupigizana makelele
kile ni kiwango cha lami cha wehu!. Ina mana watu wa pwani mambo ya msingi hawayaoni au? na ni kweli, masuala ya maendeleo hawa watu watayasikia kwenye taarifa ya habari tu. Pumbav kabisa
Mjadala uendeleee