Kuna watu utawaona night club ila mchana hawaonekani popote pale

Hayo yanawezekana ila sio wote, mapepo yatoa pesa mfukoni tena wanachanja Kwa visa card?? Ili walipie vinywaji
Yaani we bado sana we kwenye hizo pande!

Umewahi kuona pesa umeweka mezani kwako ghafula zinapotea tu!!?au unafikiri benki zetu zinalindwa na askari pekee!!?

Kuna VIUMBE visivyoonekana vinatimia pesa kama wewe utumiavyo mkuu!!
 
Hizo pis kali zinachukulika!!?next time ka test mitambo mkuu kama sio za vibwengo!!
Moja ilinisikiliza ila sikufika dau, dau lake ni non negotiable zile za masaki mbona zilikuwa zinachukuliwa sana tu ila nilihisi zipo pale on a mission either to attract more customer to attend their spot ( shark hunter) au zinatarget vibopa wanaoanzia dau la 500k up
 
Ukienda nae unakuwa hujiamn kama utakuwa salama unahisi hupo kwenye Dunia ya kawaida, baada ya hapo utatoa ushuhuda [emoji23]
 
kama ulishawahi kusikia kuna viumbe wa ajabu wanaitwa alien ndo hao mkuu
 
Laki tano?? [emoji15][emoji15][emoji15], kanipeleke nikachukue watano mkuu. Wewe ulidandia vishoka wa kutoka manzese sio wale wadada niliowaona Jana maana hilo dau dogo sana hata vinywaji tu haimtoshi per night
 
"Haziendani na mfumo" HOW?

mashaka kama yepi?
Never mind too many qns bro... Its called free education, you know hahaha nafwazzz
 
Jamaa either sio frequent pale na hana strategy ya kuwa approach ndo maana anabisha anafikiri kuna mtu atalipa io kimasiara tu masaki apo labda kule las vegas
Mkuu ni rahisi Sana kutembea na Irene uwoya, wema, zuchu, Paula na celebrities yoyote hapa bongo unaemtaka ila sio wale. Believe me nilifanya uchunguzi Kwa kina sana na watu wa pale wakasema hata wao hawawajui na Hawana mazoea yoyote Yale nahawasubutu kwenda kuongea nao. Uyu jamaa anasema laki tano aliwafata wale mamluki sunajua kwenye mamba na kenge wapo pia, Kuna mabinti wazuri tu wanaotoka mbagala wanaenda saloon za uswazi kupiga makeup wanaenda club za Masaki na posta kutest zali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…