Kuna watu utawaona night club ila mchana hawaonekani popote pale

Pesa,nguo,nyumba,magari nk. Vyote huharibika na vitapita
Unconditional Love huishi milele
 
Ajira kubwa zaidi duniani kuliko ajira zote, ni the oldest professional!, wenye bahati zao, wao wameajiriwa, kupata mnunuzi aliyenunua jumla, na kufanya full time job, wasio na bahati, wanauza reja reja, kwa wateja tofauti tofauti. Kazi hiyo hufanywa wakati wa usiku for both full time na part time!. Ndio maana usiku unawaona lakini mchana huwaoni kwasababu ndio wakati wao wa kazi, wanapeleka bidhaa sokoni.
P.
 

Macho wameweka lens kuna za paka, nyoka [emoji1787][emoji1787]
 
Lazima utambue kuwa night shifters wanalala wakati wewe unaenda kazi zako kukipambambazuka, na wao wanaanza kazi giza likianza kuingia

Huwezi kuwaona mchana maana wanapoza machungu halafu usiku wanaingia shift tena unless wawe wagonjwa au appointments za hospital kutibu majeraha na ajali za kazini
Kweli kua uyaone
 
Bidhaa gani inayopelekwa sokoni kwenye night club kama Element Masaki? Pascal Mayalla
 
Naww unaimani hizo mkuu, nikajua mjanja wa town kumbe lofer tu. Ipo siku namm nikijireform niwe kama hao mtasema mm ni jini pia iam sure
Umelewa au unakili timamu? au umejaa upumbavu tu, are you all over places and homes in town, do you see everybody driving and those fully tinted, tumia akili majini pia ni viumbe
 
Hhhahaha mkuu nimekupata sana ila wapo kazini kiaje Kati niliona wanaspend pesa hawaingizi, yani wanaagiza vinywaji ghari na pesa wanatoa wao Mda ukiisha wanapanda kwenye magari Yao ya kifahar nakupoteA kusikojulikana
 
Usiku wapo kwenye maclub kutumia pesa Sasa kazi gn wamefanya apo unaposema wapo kazn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…