Justine Marack
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 612
- 1,698
Salam kwenu nyote,
Haya mabadiliko na makelele ya wastaafu mnayo yasikia si bure. Tupongeze vyombo vya usalama kwa kuamua kumwambia ukweli kiongozi wa nchi. Na pia tuwapongeze kwa kumfanya aweze kujoamini katika kazi zake na maamuzi bila kuingiliwa.
Hongera kwa vyombo vya usalama kwa kufanya uzalendo katika majukumu yenu. Naamini Sasa mmepata nafsi wa kusikilizwa au mmeamua kutenda haki kwa Taifa letu.
Wikiendi iliyopita kunasehemu nilikua nimetulia huko uswekeni. Kulikua na akina mama wa kawaida sana. Hawani wamama wale hohehahe ambao waliua wanachoma Mahindi.
Ajabu nikwamba mambo ambayo walikua wanajadili kuhusu siasa za nchi ilinifanya kustaajabu.
Nilipata kusikia wakiijadilia awamu ya Tano mpaka awamu ya sita.
Mjadala wao ulinifanya niamini kuwa Magufuli haikuwa rahisi kuifuta legacy yake.
Magufulification ni dude kuubwa sana. Hili dude sio rahisi kupambana nalo.
Sasa Rais kuamua kuungana kwenye Magufulification sio kosa Bali ni maamuzi sahihi sana.
Hongera sana