Kuna watu wameamua kumwambia ukweli Rais Samia

Kuna watu wameamua kumwambia ukweli Rais Samia

Salam kwenu nyote,

Haya mabadiliko na makelele ya wastaafu mnayo yasikia si bure. Tupongeze vyombo vya usalama kwa kuamua kumwambia ukweli kiongozi wa nchi. Na pia tuwapongeze kwa kumfanya aweze kujoamini katika kazi zake na maamuzi bila kuingiliwa.

Hongera kwa vyombo vya usalama kwa kufanya uzalendo katika majukumu yenu. Naamini Sasa mmepata nafsi wa kusikilizwa au mmeamua kutenda haki kwa Taifa letu.

Wikiendi iliyopita kunasehemu nilikua nimetulia huko uswekeni. Kulikua na akina mama wa kawaida sana. Hawani wamama wale hohehahe ambao waliua wanachoma Mahindi.

Ajabu nikwamba mambo ambayo walikua wanajadili kuhusu siasa za nchi ilinifanya kustaajabu.

Nilipata kusikia wakiijadilia awamu ya Tano mpaka awamu ya sita.

Mjadala wao ulinifanya niamini kuwa Magufuli haikuwa rahisi kuifuta legacy yake.

Magufulification ni dude kuubwa sana. Hili dude sio rahisi kupambana nalo.

Sasa Rais kuamua kuungana kwenye Magufulification sio kosa Bali ni maamuzi sahihi sana.

Hongera sana
Ndio umeandika Nini?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Haujui CCM wewe miaka yote hata kipindi cha JPM walikwaruzana makundi ila ulipokaribia uchaguzi wa 2020 kuanzia Nape mpaka Kinana wakarudi kundini. Hizi ni hadaa tu za kila mzunguko wa uchaguzi maana kwa CCM kukamata dola ni ya muhimu kuliko maslahi ya wananchi.

So hapo ni kuunganisha makundi tu kuvuka 2025 ila sio kwamba sijui Jpm ana ushawishi maana awe nao asiwe nao ita affect vipi kura za samia ilihali anaopambana nao yaani ACT na CHADEMA wote ni Anti-JPM? Zaidi ni kwamba Team JPM hawatopiga kura which is an advantage to Samia kuliko upinzani sasa why should she pursue a lost cause?

Pia Msitake kutuaminisha CCM inategemea kura za ushawishi ingekua hivyo hata huyo Jpm asingeengua mgombea wowote wa upinzani 2020!!. Either way Team Jpm wapige wasipige utashangaa Samia kapewa 100% ya kura za 2025 huko Kanda ya ziwa!! Thats CCM.
CCM hawategemei sanduku la kura, sanduku lao la kura ni TISS na Polisi. Sanduku la kura likiheshimiwa, kesho asubuhi tu hawapo.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom