Kuna watu wameamua kumwambia ukweli Rais Samia

Waovu walimuondoa muovu mwenzao na wewe unashangilia.

Waovu wanapaswa kuondoka na siyo kuondoana
Hilo la waovu kuondoana silijui, ndio maana Sina popote ninapowashukuru hao waovu, bali nimemshukuru Mungu tu.
 
Pia Msitake kutuaminisha CCM inategemea kura za ushawishi ingekua hivyo hata huyo Jpm asingeengua mgombea wowote wa upinzani 2020!!. Either way Team Jpm wapige wasipige utashangaa Samia kapewa 100% ya kura za 2025 huko Kanda ya ziwa!! Thats CCM.
Sahihi kabisa, Ccm haitegemei kura ili kusalia madarakani.
 
jana nimepeleka mzigo kwa kiongozi mmoja mkubwa tu masaki,nafika pale mida ya saa moja umeme hakuna,mke wa yule kiongozi analalamika kwamba afadhali yule baba umeme ulikua haukatiki.

nikaishia kutikisa kichwa tu.

Sent from my Redmi Note 8 using JamiiForums mobile app
 
Hana kumbukumbu vizuri, mgao wa umeme ulianza makali yake July 2020 huyo baba akiwa hai, hadi Sasa tatizo limekuwa sugu zaidi. Ni kweli kabisa kipindi chake mgao haukuwa mkali kama Sasa, lakini ulikuwepo.
 
Tunamshukuru Mungu kwa kutuondelea yule kiongozi muovu bila damu kumwagika.
Sidhani kama umemuelewa mtoa mada.
Huyu anasema anashukuru kwamba Rais Samia ameanza kufuata sera za Magufuli.[Baada ya watu ''wema'' kumshauri]
 
Sidhani kama umemuelewa mtoa mada.
Huyu anasema anashukuru kwamba Rais Samia ameanza kufuata sera za Magufuli.[Baada ya watu ''wema'' kumshauri]
Nimemuelewa kuwa alitaka kuonyesha Magufuli alikuwa kiongozi mzuri, Mimi nimemuonyesha yule alikuwa kiongozi muovu na Wala sio mzuri kama anavyotaka tuamini.
 
Hana kumbukumbu vizuri, mgao wa umeme ulianza makali yake July 2020 huyo baba akiwa hai, hadi Sasa tatizo limekuwa sugu zaidi. Ni kweli kabisa kipindi chake mgao haukuwa mkali kama Sasa, lakini ulikuwepo.
mama sio mnafiki kama ww.

kasema afadhali yule baba angekuwepo.
unaungana na maelezo yake lakini huku roho yako inakataa.

Sent from my Redmi Note 8 using JamiiForums mobile app
 
Mama Samia anajua anachokifanya ila sukuma gang hamjitambui, political game
 
Uzi tiyariii!!
 
Nikimfikiria Samia na wale wa mama wauza Kahawa uwa nachoka sana.
 
Hizi takataka mnazitoa wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…