Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angalia wachawi wasijue.Huwa kuna mdogo wangu ambaye tumezaliwa mama mmoja baba tofauti .
Huyu mtoto yupo bright Sana na very humble.
Huwa nikitoa hela za shule na mahitaji kumpatia , basi huwa nafanya madili mengi yanatiki Sana na Kwa haraka.
Nilivyogundua hili jambo nimekuwa nahakikisha namsaidia sana.
Nilichogundua watu wenye Nyota wapo .
Juzi nilimpa buku tano tu Ila Jana nimepiga mshindo mkubwa hatari na hii ni kawaida kila nikimpa hela lazima nipige mshindo.
Mwingine ukimwambia tu jambo lako linaharibikaKuna jamaa nikiwa karibu nae lazima nigombane na watu, I mean lazima litatokea la kitokea nizinguane na mtu yeye akiwepo. Hii kitu ni real kabisa
Huwa kuna mdogo wangu ambaye tumezaliwa mama mmoja baba tofauti .
Huyu mtoto yupo bright Sana na very humble.
Huwa nikitoa hela za shule na mahitaji kumpatia , basi huwa nafanya madili mengi yanatiki Sana na Kwa haraka.
Nilivyogundua hili jambo nimekuwa nahakikisha namsaidia sana.
Nilichogundua watu wenye Nyota wapo .
Juzi nilimpa buku tano tu Ila Jana nimepiga mshindo mkubwa hatari na hii ni kawaida kila nikimpa hela lazima nipige mshindo.
Mwanafunzi wa Primary ampe gari?Mpe harrier fast upate scania unachelewa wapi kabla ya wajanja watamuibia nyota yake
Dogo anakulia gepu tu mdogo mdogo. Ukimpa hiyo m10 tu imekula kwako.Nataka nimtumie M10 😁
Mimi pia ninayo hiyo .Bi mkubwa wangu ana hio baraka pia.. yani hata akisimamaga kwenye biashara ya mtu atakuza mpaka aondoke.. huwaga sio mtu wakukosa mana anapewa sana sijui na wanaompa wamegundua hilo
Kweli kabisa.Umechelewa sn kulitambuwa hilo mkuu,
Sio kusaidia mtu Kwa kutoa pesa pekee kunaleta riziki bali hata kuishi na watu tofauti tofauti nyumbani kwako,
Kuna watu wanakula jasho na kutumia nyota za wengine bila kujijuwa,
Na siku utakayowaondoa hao unaoishi nao nyumbani kwako ndy hapo utaanza kuona ugumu wa maisha.
Rejea Kwa wazee wetu wa zamani walikuwa wanapenda kulea watoto wa ndugu na watu baki na Wala hawakuwa na kipato kubwa,
lakini waliweza kusomesha watoto wa ndugu na kumudu maisha Kwa wepesi kabisa.
Leo maisha tunayaona magumu kwasababu ya ubinafsi wetu na choyo kwa Kila mtu kuishi na family yake pekee na sio kusaidia wengine.
Mambi gani mkuu...🤔Inawezekana Ila mambo mengi haujayajua bado mkuu.