Kuna watu wanabaraka sana ukiwasaidia mambo yako lazima yanyooke kwa kasi ya ajabu

Angalia wachawi wasijue.
 
Bi mkubwa wangu ana hio baraka pia.. yani hata akisimamaga kwenye biashara ya mtu atakuza mpaka aondoke.. huwaga sio mtu wakukosa mana anapewa sana sijui na wanaompa wamegundua hilo
Is blessings
 
Nyota yake inang'aa
 
Bi mkubwa wangu ana hio baraka pia.. yani hata akisimamaga kwenye biashara ya mtu atakuza mpaka aondoke.. huwaga sio mtu wakukosa mana anapewa sana sijui na wanaompa wamegundua hilo
Mimi pia ninayo hiyo .
 
Umechelewa sn kulitambuwa hilo mkuu,
Sio kusaidia mtu Kwa kutoa pesa pekee kunaleta riziki bali hata kuishi na watu tofauti tofauti nyumbani kwako,
Kuna watu wanakula jasho na kutumia nyota za wengine bila kujijuwa,
Na siku utakayowaondoa hao unaoishi nao nyumbani kwako ndy hapo utaanza kuona ugumu wa maisha.

Rejea Kwa wazee wetu wa zamani walikuwa wanapenda kulea watoto wa ndugu na watu baki na Wala hawakuwa na kipato kikubwa,
lakini waliweza kusomesha watoto wa ndugu na kumudu maisha Kwa wepesi kabisa.

Leo maisha tunayaona magumu kwasababu ya ubinafsi wetu na choyo kwa Kila mtu kuishi na family yake pekee na sio kusaidia wengine.
 
Kweli kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…