Kuna watu wanabaraka sana ukiwasaidia mambo yako lazima yanyooke kwa kasi ya ajabu

Home ilikuwa hivyo.
 
Kuna jamaa nikiwa karibu nae lazima nigombane na watu, I mean lazima litatokea la kitokea nizinguane na mtu yeye akiwepo. Hii kitu ni real kabisa
Usimtenge sana, ukitamani ugomvi na purukushani kaa nae karibu maana pia ni flavour kwa maisha 🀣🀣🀣
 
Bi mkubwa wangu ana hio baraka pia.. yani hata akisimamaga kwenye biashara ya mtu atakuza mpaka aondoke.. huwaga sio mtu wakukosa mana anapewa sana sijui na wanaompa wamegundua hilo
Inafanya kazi vipi endapo ukiigundua na kuifanyia kazi mwenyewe? Any + reaction
 
Mwingine ukimwambia tu jambo lako linaharibika
Hii imetokea km mara 3 au 4 kuna Rafki yangu wa kiume nikimueleza neema yangu basi the next day mambo yanabuma! Mpk sshv nimepunguza ukaribu nae na simuelezi tena mambo yngu..
I think ana Negative Energy na huenda hajijui.. aliwahi kunambia few years ago wamegundua Bibi yao mchawi na wamemtenga
 
Kabisa kuna watu kwa kiswahili tuseme wana kijicho ila hawajui.. mimi huyo simwambiagi kitu tena
 
Dogo anakuombea nakumshukuru Mungu juu yako.
A
 
Mimi ni zaidi ya dogo...jaribu kutuma uone πŸ˜€Mimi hata nikinunua kitu kwa biashara ya mtu ...jua kabisa hiyo siku ni njema machoni pa huyo mtu
 
Mimi ni zaidi ya dogo...jaribu kutuma uone πŸ˜€Mimi hata nikinunua kitu kwa biashara ya mtu ...jua kabisa hiyo siku ni njema machoni pa huyo mtu
πŸ€—πŸ€—πŸ€—
 
D
Duuuh πŸ€—πŸ€—
 
πŸ€—
Daaah!!

Hii mtu utajuaje au kuepuka baraka zako zisichukuliwe?
Ni ngumu Ila epuka kutoa misaada hovyo hovyo na mbele za macho ya watu
Ni muhimu sana kuzungumza na Mungu wako ama kuisikiliza sauti ya rohoni unapotaka kutoa msaada wowote..! Roho ikisita acha mara moja
 
Bi mkubwa wangu ana hio baraka pia.. yani hata akisimamaga kwenye biashara ya mtu atakuza mpaka aondoke.. huwaga sio mtu wakukosa mana anapewa sana sijui na wanaompa wamegundua hilo
Kwa aanzishi na kukuza biashara yake ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…