cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,885
- 76,043
Ni ngumu Ila epuka kutoa misaada hovyo hovyo na mbele za macho ya watu
Ni muhimu sana kuzungumza na Mungu wako ama kuisikiliza sauti ya rohoni unapotaka kutoa msaada wowote..! Roho ikisita acha mara moja
ChaiHuwa kuna mdogo wangu ambaye tumezaliwa mama mmoja baba tofauti .
Huyu mtoto yupo bright Sana na very humble.
Huwa nikitoa hela za shule na mahitaji kumpatia , basi huwa nafanya madili mengi yanatiki Sana na Kwa haraka.
Nilivyogundua hili jambo nimekuwa nahakikisha namsaidia sana.
Nilichogundua watu wenye Nyota wapo .
Juzi nilimpa buku tano tu Ila Jana nimepiga mshindo mkubwa hatari na hii ni kawaida kila nikimpa hela lazima nipige mshindo.
AnayoKwa aanzishi na kukuza biashara yake ?
😀😀😀😀Nimekutumia pmWeka namba 😋