I Iron dome JF-Expert Member Joined Nov 10, 2023 Posts 1,245 Reaction score 3,553 Mar 17, 2026 #41 ChoiceVariable said: Kiongozi gani? Nimumie Kwa nini? Unawezaje kufanya kumbukizi ya kumpenda Kiongozi asiye ndugu Yako kuliko baba au mama Yako aliyekulea? Mfano Mimi ni shabiki wa SSH,hivi unadhani naweza acha affairs za ndugu zangu Kwa Ajili yake? Click to expand... We jamaa lofa tu....unamuonea wivu hayati?... Una uhakika gani hao watu hawafanyi kumbukizi ya ndugu zao?... Itakuwa mwamba alikufanya kitu mbaya sio kwa gubu hili bibie
ChoiceVariable said: Kiongozi gani? Nimumie Kwa nini? Unawezaje kufanya kumbukizi ya kumpenda Kiongozi asiye ndugu Yako kuliko baba au mama Yako aliyekulea? Mfano Mimi ni shabiki wa SSH,hivi unadhani naweza acha affairs za ndugu zangu Kwa Ajili yake? Click to expand... We jamaa lofa tu....unamuonea wivu hayati?... Una uhakika gani hao watu hawafanyi kumbukizi ya ndugu zao?... Itakuwa mwamba alikufanya kitu mbaya sio kwa gubu hili bibie
Pulchra Animo Platinum Member Joined Jun 16, 2016 Posts 8,620 Reaction score 15,134 Mar 18, 2026 #42 ChoiceVariable said: Huyu mnaefanya kumbukizi na kujenga sijui maktaba yake kutakuwa na kitu gani Cha kuifaa jamii? Click to expand... Kumbe kuhangaika kote huko mpaka umeanzisha uzi ni kwasababu ya mtu fulani?
ChoiceVariable said: Huyu mnaefanya kumbukizi na kujenga sijui maktaba yake kutakuwa na kitu gani Cha kuifaa jamii? Click to expand... Kumbe kuhangaika kote huko mpaka umeanzisha uzi ni kwasababu ya mtu fulani?
ChoiceVariable JF-Expert Member Joined May 23, 2017 Posts 83,659 Reaction score 90,151 Mar 18, 2026 Thread starter #43 Pulchra Animo said: Kumbe kuhangaika kote huko mpaka umeanzisha uzi ni kwasababu ya mtu fulani? Click to expand... Nijibu
Pulchra Animo said: Kumbe kuhangaika kote huko mpaka umeanzisha uzi ni kwasababu ya mtu fulani? Click to expand... Nijibu
Pulchra Animo Platinum Member Joined Jun 16, 2016 Posts 8,620 Reaction score 15,134 Mar 18, 2026 #44 ChoiceVariable said: Nijibu Click to expand... Nikujibu nini?