Kuna watu wanafurahisha sana. Wanasema Marekani haja haribu miundo mbinu ya nuclear kule Iran

B-2 STEALTH BOMBER

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2024
Posts
4,640
Reaction score
6,422
Wakuu niketafakari kidogo namna hawa wenzetu wanaosema America haja fanikiwa mission yake pale Iran. Naona niwakumbushe tu kuwa America ndiye aliifunua Hiroshima na Nagasaki juu chini au tuseme chini juu.

Sasa wale wairani wa huku Africa ya mashariki waliojaa ujuaji wao wa hovyo. Tuwakumbushe tena na tena. Mpaka sasa tumeona kuwa America akitaka kumfumua Iran ni very easy.

Ni rahisi saana kama kunawa uso tu. Ahsubuhi.
 
Ni kweli kuwa Marekani ni taifa lenye nguvu kubwa za kijeshi na historia yake katika vita kama ya Hiroshima na Nagasaki ni ushahidi wa uwezo huo. Hata hivyo, ni vizuri tukawa na tafakari yenye kina na busara zaidi — nguvu za kijeshi peke yake hazimaanishi mafanikio ya kisiasa au kiusalama wa kudumu.

Hoja yako inaonyesha kuwa ni muhimu kuelewa uzito wa hatua za kijeshi na athari zake kwa dunia nzima. Tunaweza kuikubali Marekani kama taifa lenye nguvu, lakini pia tukatambua kuwa dunia ya leo inahitaji busara zaidi kuliko mabavu. Kuishi kwa amani na utulivu kunahitaji siyo tu makombora, bali pia hekima ya mazungumzo na diplomasia.

Ni vizuri kuwa tunajifunza kutoka historia, lakini pia tuwe waangalifu tusije tukatukuza migogoro badala ya kutafuta amani.
 
Mkuu Iran hawana busara. Wametangaza mara zaidi ya 10 kuifuta Israel je hapo kuna busara..? Tujiulize sote kwanini hajapigwa Saudi Arabia, au nchi nyengine isipokua Iran tu
 
Hapo umegusa hoja muhimu sana, na ni kweli — matamshi ya Iran dhidi ya Israel mara nyingi yamejaa vitisho visivyo na busara ya kidiplomasia. Kauli kama za "kuifuta Israel" hazijengi amani wala si suluhisho la mizozo ya Mashariki ya Kati. Hiyo ni lugha inayochochea chuki, si ujenzi wa maelewano.

Swali lako la kwa nini Iran ndiyo mara nyingi inakuwa "target" na si nchi nyingine kama Saudi Arabia lina mantiki. Iran mara nyingi hujihusisha moja kwa moja au kupitia mawakala wake (kama Hezbollah, Houthis, au militi za Iraq) katika migogoro ya kieneo — na hii huwafanya waonekane kama chanzo cha mashambulizi mengi ya kiusalama. Nchi kama Saudi Arabia, licha ya kuwa na masuala yake, huwa haitoi vitisho vya wazi kama hivyo dhidi ya nchi nyingine.

Kwa kifupi, busara si tu kujizuia kufanya vita, bali ni pia kujizuia na kauli zinazochochea migogoro. Iran inapaswa kujipima, kama kweli inalenga kuheshimika kimataifa.
 
Wakuu niketafakari kidogo namna hawa wenzetu wanaosema America haja fanikiwa mission yake pale Iran.
Naona niwakumbushe tu kuwa America ndiye aliifunua Horoshima na Nagasaki juu chini au tuseme chini juu.
Sasa wale wairani wa huku Africa ya mashariki waliojaa ujuaji wao wa hovyo. Tuwakumbushe tena na tena.
Mpaka sasa tumeona kuwa America akitaka kumfumua Iran ni very easy.

Mkuu hata wewe ukichapiwa mkeo huwezi kukiri wazi kuwa mkeo kaliwa zaidi tuu utaumia sana moyoni huku unatafuta njia nzuri ya kumuacha au kuishi nae.

Nb. Tunachojua putin sahivi anamuambia kamenei akampigie magoti USA na Israel.
 
Mkuu Iran hawana busara. Wametangaza mara zaidi ya 10 kuifuta Israel je hapo kuna busara..? Tujiulize sote kwanini hajapigwa Saudi Arabia, au nchi nyengine isipokua Iran tu
We jamaa kichwani ni mweupe.
Aliyeanza uchokozi kati ya Israel na Iran ni nani??
Je Iran imetangaza bila sababu kuifuta Israel??
Nani asiyejua kuwa Israel ndio chanzo Cha machafuko hapo middle east?
Hadi nchi za Ulaya kama Spain zinasema wazi kuwa Israel ndio chanzo Cha machafuko ya amani mashariki ya kati.
 
Hapo umegusa hoja muhimu sana, na ni kweli — matamshi ya Iran dhidi ya Israel mara nyingi yamejaa vitisho visivyo na busara ya kidiplomasia. Kauli kama za "kuifuta Israel" hazijengi amani wala si suluhisho la mizozo ya Mashariki ya Kati. Hiyo ni lugha inayochochea chuki, si ujenzi wa maelewano.

Swali lako la kwa nini Iran ndiyo mara nyingi inakuwa "target" na si nchi nyingine kama Saudi Arabia lina mantiki. Iran mara nyingi hujihusisha moja kwa moja au kupitia mawakala wake (kama Hezbollah, Houthis, au militi za Iraq) katika migogoro ya kieneo — na hii huwafanya waonekane kama chanzo cha mashambulizi mengi ya kiusalama. Nchi kama Saudi Arabia, licha ya kuwa na masuala yake, huwa haitoi vitisho vya wazi kama hivyo dhidi ya nchi nyingine.

Kwa kifupi, busara si tu kujizuia kufanya vita, bali ni pia kujizuia na kauli zinazochochea migogoro. Iran inapaswa kujipima, kama kweli inalenga kuheshimika kimataifa.
We mwamba mbona kama unajibu kwa chat gpt??

Au wewe ni computerised??
Au wewe ni Roboti Wa Nape
 
Wakuu niketafakari kidogo namna hawa wenzetu wanaosema America haja fanikiwa mission yake pale Iran.
Naona niwakumbushe tu kuwa America ndiye aliifunua Horoshima na Nagasaki juu chini au tuseme chini juu.
Sasa wale wairani wa huku Africa ya mashariki waliojaa ujuaji wao wa hovyo. Tuwakumbushe tena na tena.
Mpaka sasa tumeona kuwa America akitaka kumfumua Iran ni very easy.
Ni rahisi saana kama kunawa uso tu. Ahsubuhi.
najiuliza, ndege zillingiaje bila kuonekana kwenye rada/mitambo ya ulinzi wa Iran? How come this possible?
Kwahiy USA alikuja blindly bila kujua anakuja kufanya nini na uhakika wake ukoje kuwa nuclear facilities ziko pale?
 
Ili msumari uingie sehemu mpigaji anabidi agonge sehemu husika? au agonge sehemu husika mara Moja arudie tena pembeni yake mara nyingine,tena arudie sehemu nyingine je ubao utashika ukuta?
 
We jamaa kichwani ni mweupe.
Aliyeanza uchokozi kati ya Israel na Iran ni nani??
Je Iran imetangaza bila sababu kuifuta Israel??
Nani asiyejua kuwa Israel ndio chanzo Cha machafuko hapo middle east?
Hadi nchi za Ulaya kama Spain zinasema wazi kuwa Israel ndio chanzo Cha machafuko ya amani mashariki ya kati.
Kwa hiyo sasa unasemaje.
 
Hajafanya chochote zile ndege wamarekani wamepigwa 🤣🤣katimu vumbi tu ,halafu kumbuka Hiroshima ni nuclear so angalau tumia akili.
 
Wakuu niketafakari kidogo namna hawa wenzetu wanaosema America haja fanikiwa mission yake pale Iran.
Naona niwakumbushe tu kuwa America ndiye aliifunua Horoshima na Nagasaki juu chini au tuseme chini juu.
Sasa wale wairani wa huku Africa ya mashariki waliojaa ujuaji wao wa hovyo. Tuwakumbushe tena na tena.
Mpaka sasa tumeona kuwa America akitaka kumfumua Iran ni very easy.
Ni rahisi saana kama kunawa uso tu. Ahsubuhi.
Utakuta ni wale wanaosema Osama hajafa
 
Ni kweli kuwa Marekani ni taifa lenye nguvu kubwa za kijeshi na historia yake katika vita kama ya Hiroshima na Nagasaki ni ushahidi wa uwezo huo. Hata hivyo, ni vizuri tukawa na tafakari yenye kina na busara zaidi — nguvu za kijeshi peke yake hazimaanishi mafanikio ya kisiasa au kiusalama wa kudumu.

Hoja yako inaonyesha kuwa ni muhimu kuelewa uzito wa hatua za kijeshi na athari zake kwa dunia nzima. Tunaweza kuikubali Marekani kama taifa lenye nguvu, lakini pia tukatambua kuwa dunia ya leo inahitaji busara zaidi kuliko mabavu. Kuishi kwa amani na utulivu kunahitaji siyo tu makombora, bali pia hekima ya mazungumzo na diplomasia.

Ni vizuri kuwa tunajifunza kutoka historia, lakini pia tuwe waangalifu tusije tukatukuza migogoro badala ya kutafuta amani.
Iran walipewa option moja muhim. Hiyo uranium anayotaka kwaajili ya usalama urutubishwe nje ya Iran amekataa unategemea nini
 
Hapo umegusa hoja muhimu sana, na ni kweli — matamshi ya Iran dhidi ya Israel mara nyingi yamejaa vitisho visivyo na busara ya kidiplomasia. Kauli kama za "kuifuta Israel" hazijengi amani wala si suluhisho la mizozo ya Mashariki ya Kati. Hiyo ni lugha inayochochea chuki, si ujenzi wa maelewano.

Swali lako la kwa nini Iran ndiyo mara nyingi inakuwa "target" na si nchi nyingine kama Saudi Arabia lina mantiki. Iran mara nyingi hujihusisha moja kwa moja au kupitia mawakala wake (kama Hezbollah, Houthis, au militi za Iraq) katika migogoro ya kieneo — na hii huwafanya waonekane kama chanzo cha mashambulizi mengi ya kiusalama. Nchi kama Saudi Arabia, licha ya kuwa na masuala yake, huwa haitoi vitisho vya wazi kama hivyo dhidi ya nchi nyingine.

Kwa kifupi, busara si tu kujizuia kufanya vita, bali ni pia kujizuia na kauli zinazochochea migogoro. Iran inapaswa kujipima, kama kweli inalenga kuheshimika kimataifa.
Kweli. Iran akiacha ukobazi na ugaidi mbona amani itakuepo. Sasa anafadhili magaidi na anawatuma wapige Israel kwanini asishughulikiwe. Na anaendelea kusumbua huyu watamtwanga vizuri na Ayatollah huu mwaka hatoboi
 
Nyie mna justification wa kupiga wengine sio ugadi ... Haujui hata maana ,nyie makafiri ni magaidi wa kwanza ..Hao unaowatetea ni magaidi walimuua mpaka Mungu wako🤣🤣
 
Back
Top Bottom