B-2 STEALTH BOMBER
JF-Expert Member
- Sep 15, 2024
- 4,640
- 6,422
- Thread starter
- #21
Mungu anakufaga..? So unatetea ugaidi..? Na kingine jikite kusimamia ukweli utakua huru. Jiulizwe why Saudia hajapigwa na anapigwa IRAN tu..? Na Iran inaenda kugawanyika na kuwa vinchi vidogo vidogo tunza hii. Kwanini majirani woote wa IRAN wamemwacha mwenyewe..?Nyie mna justification wa kupiga wengine sio ugadi ... Haujui hata maana ,nyie makafiri ni magaidi wa kwanza ..Hao unaowatetea ni magaidi walimuua mpaka Mungu wako🤣🤣
IRan ndiye anachafua hali ya amani mashariki ya kati. Na hili unabisha. Watu watanga na ukobazi mpo dam dam. Kajikite kwenye mapenzi na baikoko mkuu huku potea