Wazolee
JF-Expert Member
- Sep 1, 2018
- 4,177
- 4,887
Kwahiyo Sasa mgogoro wa Nyukilia kati ya Irani na Marekani umeisha si ndio?Wakuu niketafakari kidogo namna hawa wenzetu wanaosema America haja fanikiwa mission yake pale Iran. Naona niwakumbushe tu kuwa America ndiye aliifunua Hiroshima na Nagasaki juu chini au tuseme chini juu.
Sasa wale wairani wa huku Africa ya mashariki waliojaa ujuaji wao wa hovyo. Tuwakumbushe tena na tena. Mpaka sasa tumeona kuwa America akitaka kumfumua Iran ni very easy.
Ni rahisi saana kama kunawa uso tu. Ahsubuhi.
Kama kweli vinu vyote vimelipuliwa basi hautasikia tena Maneno yanayohusu mgogoro wa Nyukilia kuhusu Irani
Kwa Sasa Irani yupo bize na kumchapa Israel ngoja akimaliza tutajua Nyukilia bado anayo au ndio Imelipuliwa