B-2 STEALTH BOMBER
JF-Expert Member
- Sep 15, 2024
- 4,640
- 6,422
- Thread starter
- #61
Wewe unajitambua..?Irani haijawahi kupigana na nchi yoyote ukiondoa vita yao na Iraq miaka zaidi 50 iliyopita
Sasa amani gani unayoizungumzia mmelishwa propaganda za Marekani, uingereza na Israel mmeshiba hata kujitambua hamjitambui