B-2 STEALTH BOMBER
JF-Expert Member
- Sep 15, 2024
- 4,640
- 6,422
Mkuu Iran hawana busara. Wametangaza mara zaidi ya 10 kuifuta Israel je hapo kuna busara..? Tujiulize sote kwanini hajapigwa Saudi Arabia, au nchi nyengine isipokua Iran tuNi kweli kuwa Marekani ni taifa lenye nguvu kubwa za kijeshi na historia yake katika vita kama ya Hiroshima na Nagasaki ni ushahidi wa uwezo huo. Hata hivyo, ni vizuri tukawa na tafakari yenye kina na busara zaidi — nguvu za kijeshi peke yake hazimaanishi mafanikio ya kisiasa au kiusalama wa kudumu.
Hoja yako inaonyesha kuwa ni muhimu kuelewa uzito wa hatua za kijeshi na athari zake kwa dunia nzima. Tunaweza kuikubali Marekani kama taifa lenye nguvu, lakini pia tukatambua kuwa dunia ya leo inahitaji busara zaidi kuliko mabavu. Kuishi kwa amani na utulivu kunahitaji siyo tu makombora, bali pia hekima ya mazungumzo na diplomasia.
Ni vizuri kuwa tunajifunza kutoka historia, lakini pia tuwe waangalifu tusije tukatukuza migogoro badala ya kutafuta amani.
Hapo umegusa hoja muhimu sana, na ni kweli — matamshi ya Iran dhidi ya Israel mara nyingi yamejaa vitisho visivyo na busara ya kidiplomasia. Kauli kama za "kuifuta Israel" hazijengi amani wala si suluhisho la mizozo ya Mashariki ya Kati. Hiyo ni lugha inayochochea chuki, si ujenzi wa maelewano.Mkuu Iran hawana busara. Wametangaza mara zaidi ya 10 kuifuta Israel je hapo kuna busara..? Tujiulize sote kwanini hajapigwa Saudi Arabia, au nchi nyengine isipokua Iran tu
Mkuu hata wewe ukichapiwa mkeo huwezi kukiri wazi kuwa mkeo kaliwa zaidi tuu utaumia sana moyoni huku unatafuta njia nzuri ya kumuacha au kuishi nae.Wakuu niketafakari kidogo namna hawa wenzetu wanaosema America haja fanikiwa mission yake pale Iran.
Naona niwakumbushe tu kuwa America ndiye aliifunua Horoshima na Nagasaki juu chini au tuseme chini juu.
Sasa wale wairani wa huku Africa ya mashariki waliojaa ujuaji wao wa hovyo. Tuwakumbushe tena na tena.
Mpaka sasa tumeona kuwa America akitaka kumfumua Iran ni very easy.
Ni rahisi saana kama kunawa uso tu. Ahsubuhi.
We jamaa kichwani ni mweupe.Mkuu Iran hawana busara. Wametangaza mara zaidi ya 10 kuifuta Israel je hapo kuna busara..? Tujiulize sote kwanini hajapigwa Saudi Arabia, au nchi nyengine isipokua Iran tu
We mwamba mbona kama unajibu kwa chat gpt??Hapo umegusa hoja muhimu sana, na ni kweli — matamshi ya Iran dhidi ya Israel mara nyingi yamejaa vitisho visivyo na busara ya kidiplomasia. Kauli kama za "kuifuta Israel" hazijengi amani wala si suluhisho la mizozo ya Mashariki ya Kati. Hiyo ni lugha inayochochea chuki, si ujenzi wa maelewano.
Swali lako la kwa nini Iran ndiyo mara nyingi inakuwa "target" na si nchi nyingine kama Saudi Arabia lina mantiki. Iran mara nyingi hujihusisha moja kwa moja au kupitia mawakala wake (kama Hezbollah, Houthis, au militi za Iraq) katika migogoro ya kieneo — na hii huwafanya waonekane kama chanzo cha mashambulizi mengi ya kiusalama. Nchi kama Saudi Arabia, licha ya kuwa na masuala yake, huwa haitoi vitisho vya wazi kama hivyo dhidi ya nchi nyingine.
Kwa kifupi, busara si tu kujizuia kufanya vita, bali ni pia kujizuia na kauli zinazochochea migogoro. Iran inapaswa kujipima, kama kweli inalenga kuheshimika kimataifa.
Mimi mume wa Chat Gpt. Swali lingine ?
najiuliza, ndege zillingiaje bila kuonekana kwenye rada/mitambo ya ulinzi wa Iran? How come this possible?Wakuu niketafakari kidogo namna hawa wenzetu wanaosema America haja fanikiwa mission yake pale Iran.
Naona niwakumbushe tu kuwa America ndiye aliifunua Horoshima na Nagasaki juu chini au tuseme chini juu.
Sasa wale wairani wa huku Africa ya mashariki waliojaa ujuaji wao wa hovyo. Tuwakumbushe tena na tena.
Mpaka sasa tumeona kuwa America akitaka kumfumua Iran ni very easy.
Ni rahisi saana kama kunawa uso tu. Ahsubuhi.
Ili msumari uingie sehemu mpigaji anabidi agonge sehemu husika? au agonge sehemu husika mara Moja arudie tena pembeni yake mara nyingine,tena arudie sehemu nyingine je ubao utashika ukuta?najiuliza, ndege zillingiaje bila kuonekana kwenye rada/mitambo ya ulinzi wa Iran? How come this possible?
Kwahiy USA alikuja blindly bila kujua anakuja kufanya nini na uhakika wake ukoje kuwa nuclear facilities ziko pale?
Kwa hiyo sasa unasemaje.We jamaa kichwani ni mweupe.
Aliyeanza uchokozi kati ya Israel na Iran ni nani??
Je Iran imetangaza bila sababu kuifuta Israel??
Nani asiyejua kuwa Israel ndio chanzo Cha machafuko hapo middle east?
Hadi nchi za Ulaya kama Spain zinasema wazi kuwa Israel ndio chanzo Cha machafuko ya amani mashariki ya kati.
Utakuta ni wale wanaosema Osama hajafaWakuu niketafakari kidogo namna hawa wenzetu wanaosema America haja fanikiwa mission yake pale Iran.
Naona niwakumbushe tu kuwa America ndiye aliifunua Horoshima na Nagasaki juu chini au tuseme chini juu.
Sasa wale wairani wa huku Africa ya mashariki waliojaa ujuaji wao wa hovyo. Tuwakumbushe tena na tena.
Mpaka sasa tumeona kuwa America akitaka kumfumua Iran ni very easy.
Ni rahisi saana kama kunawa uso tu. Ahsubuhi.
Iran walipewa option moja muhim. Hiyo uranium anayotaka kwaajili ya usalama urutubishwe nje ya Iran amekataa unategemea niniNi kweli kuwa Marekani ni taifa lenye nguvu kubwa za kijeshi na historia yake katika vita kama ya Hiroshima na Nagasaki ni ushahidi wa uwezo huo. Hata hivyo, ni vizuri tukawa na tafakari yenye kina na busara zaidi — nguvu za kijeshi peke yake hazimaanishi mafanikio ya kisiasa au kiusalama wa kudumu.
Hoja yako inaonyesha kuwa ni muhimu kuelewa uzito wa hatua za kijeshi na athari zake kwa dunia nzima. Tunaweza kuikubali Marekani kama taifa lenye nguvu, lakini pia tukatambua kuwa dunia ya leo inahitaji busara zaidi kuliko mabavu. Kuishi kwa amani na utulivu kunahitaji siyo tu makombora, bali pia hekima ya mazungumzo na diplomasia.
Ni vizuri kuwa tunajifunza kutoka historia, lakini pia tuwe waangalifu tusije tukatukuza migogoro badala ya kutafuta amani.
NATEGEMEA MAZUNGUMZO YA AMANIIran walipewa option moja muhim. Hiyo uranium anayotaka kwaajili ya usalama urutubishwe nje ya Iran amekataa unategemea nini
Mi mwenyewe ctaman kuona nachokiona pale Gaza nateseka sana nikiwaona wale watoto pale gazaNATEGEMEA MAZUNGUMZO YA AMANI
Kweli kabisa mkuuUtakuta ni wale wanaosema Osama hajafa
Kweli. Iran akiacha ukobazi na ugaidi mbona amani itakuepo. Sasa anafadhili magaidi na anawatuma wapige Israel kwanini asishughulikiwe. Na anaendelea kusumbua huyu watamtwanga vizuri na Ayatollah huu mwaka hatoboiHapo umegusa hoja muhimu sana, na ni kweli — matamshi ya Iran dhidi ya Israel mara nyingi yamejaa vitisho visivyo na busara ya kidiplomasia. Kauli kama za "kuifuta Israel" hazijengi amani wala si suluhisho la mizozo ya Mashariki ya Kati. Hiyo ni lugha inayochochea chuki, si ujenzi wa maelewano.
Swali lako la kwa nini Iran ndiyo mara nyingi inakuwa "target" na si nchi nyingine kama Saudi Arabia lina mantiki. Iran mara nyingi hujihusisha moja kwa moja au kupitia mawakala wake (kama Hezbollah, Houthis, au militi za Iraq) katika migogoro ya kieneo — na hii huwafanya waonekane kama chanzo cha mashambulizi mengi ya kiusalama. Nchi kama Saudi Arabia, licha ya kuwa na masuala yake, huwa haitoi vitisho vya wazi kama hivyo dhidi ya nchi nyingine.
Kwa kifupi, busara si tu kujizuia kufanya vita, bali ni pia kujizuia na kauli zinazochochea migogoro. Iran inapaswa kujipima, kama kweli inalenga kuheshimika kimataifa.
Nyie mna justification wa kupiga wengine sio ugadi ... Haujui hata maana ,nyie makafiri ni magaidi wa kwanza ..Hao unaowatetea ni magaidi walimuua mpaka Mungu wako🤣🤣Kweli. Iran akiacha ukobazi na ugaidi mbona amani itakuepo. Sasa anafadhili magaidi na anawatuma wapige Israel kwanini asishughulikiwe. Na anaendelea kusumbua huyu watamtwanga vizuri na Ayatollah huu mwaka hatoboi