Kuna watu wanafurahisha sana. Wanasema Marekani haja haribu miundo mbinu ya nuclear kule Iran

Kwahiyo Sasa mgogoro wa Nyukilia kati ya Irani na Marekani umeisha si ndio?

Kama kweli vinu vyote vimelipuliwa basi hautasikia tena Maneno yanayohusu mgogoro wa Nyukilia kuhusu Irani

Kwa Sasa Irani yupo bize na kumchapa Israel ngoja akimaliza tutajua Nyukilia bado anayo au ndio Imelipuliwa
 
Sidhani kama anacho kiandika hukijui. Nikukumbushe kidogo. Wakati Ayatollah Kamenei na yule mtangulizi wake aliyekufa mwaka 1988 plus Khashim Rafsanjani wanaingia madarakani, Iraq iliivamia Iran, kumbuka utawala hu wa kina Khamenei na Khomein ulikua mchanga sana, it was Israel ndie aliyewasaidia sana hawa watu, sema Waislamu hamnaga shukurani na hasa atakae kupa msaada asiwe mwislamu mwenzio. Iran kajipa jukumu ambalo halikua lake, ukimtazama yeye ana kiu moja tu, kuifanya middle east iamini katika madhehebu yake. Unaziona vurugu zinazo endelea Iraq nowadays? Is him, hataki dhehebu la Saudia kutawala middle east. Iran ni mchokozi, Iran ni mgomvi.
Sina hakika na umri wako lakini hata hapa Tanzania, miaka ya 80 kurudi nyuma, Waislamu na Wakristo hatukuaga na issues zozote, baada ya Iran kuanza ku stabilize shida zikaanza; baadhi ya misikiti ikaanza kupendelea siasa kali, Bakwata ikaanza kupigwa vita, mara mabucha ya nyama za nguruwe kuvunjwa etc. Iran wana aleji na amani
 
Mgogoro utaisha pale Iran atakapo kubali kuishi kwa amani na Israel.
 
Ushasema mhispania haonwenye asili ya morocco ukobazini. ..
 
Hahaha haya
 
Kwani kuna ubaya gani? Acha uboya fuata dunia inakoenda siku hizi hakuna kuumiza kichwa wakati tumerahisishiwa. Nyie ni sawa na wale maprof wa zamani WA UDSM walikuwa wanafanya degree kusoma iwe kama vita
Ohoo kijana makinika usiifate dunia hovyohovyo utapotezwa aloo.

Hizo chat gpt zikupe mwanga, elewa na ueleze kwa uelewa wako ukiongeza na vitu vyako.
Yaana unacopy kama roboti, mimi sikubaliani na hiyo mbinu dumavu.
 
ChatGPT
 
Siku 11 tu za mapambani Israel amekata moto na Makafiri Sasa imeamia USA.
 
Kweli. Iran akiacha ukobazi na ugaidi mbona amani itakuepo. Sasa anafadhili magaidi na anawatuma wapige Israel kwanini asishughulikiwe. Na anaendelea kusumbua huyu watamtwanga vizuri na Ayatollah huu mwaka hatoboi
he yahudi mweusi hebu kasome historia kidogo
 
he yahudi mweusi hebu kasome historia kidogo
Hiyo historia nayo umeisoma.kuanzia mwanzo au unaisoma kwenye mambo ya mudy tu..? Historia unayosema nikaisome nimeisoma vyema na walio anzisha hilo taifa waliisoma historia tena kisayansi. Sasa wewe bibi ambae historia yako ni ya kutoka madrasa utatuambia nini
 
⚠️Chatgpt detected
 
Umeula na Chua kijana kama ulidhania mimi nimesoma madrasa tu na nimefika LA saba.
Bado hujui historia wewe kijana mdogo
 
Nuclear siyo sufuria la makande dogo wameshambulia ndiyo ila hawajaharibu kinu cha Nuclear ingekua imeharibiwa ungeshasikia vifo kutokana na leakage ya mionzi
 
Mgogoro utaisha pale Iran atakapo kubali kuishi kwa amani na Israel.
Irani haijawahi kupigana na nchi yoyote ukiondoa vita yao na Iraq miaka zaidi 50 iliyopita

Sasa amani gani unayoizungumzia mmelishwa propaganda za Marekani, uingereza na Israel mmeshiba hata kujitambua hamjitambui
 
Hii itakua chatgp😃
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…