B-2 STEALTH BOMBER
JF-Expert Member
- Sep 15, 2024
- 4,640
- 6,422
- Thread starter
-
- #61
Wewe unajitambua..?Irani haijawahi kupigana na nchi yoyote ukiondoa vita yao na Iraq miaka zaidi 50 iliyopita
Sasa amani gani unayoizungumzia mmelishwa propaganda za Marekani, uingereza na Israel mmeshiba hata kujitambua hamjitambui
Sawa mtaalamu wa iran ila zimebondwa endelea kujifariji hapo masjid al hilal bonyokwaNuclear siyo sufuria la makande dogo wameshambulia ndiyo ila hawajaharibu kinu cha Nuclear ingekua imeharibiwa ungeshasikia vifo kutokana na leakage ya mionzi
Mu Israel wa kazuramimba unaumia sana kuona taifa la mungu uchwara likiwa limesagwa na makomboraSawa mtaalamu wa iran ila zimebondwa endelea kujifariji hapo masjid al hilal bonyokwa
Hahah nakuhurumia kobazi na huo ubongo wako ulio jaaa π©π©π© za mudyMu Israel wa kazuramimba unaumia sana kuona taifa la mungu uchwara likiwa limesagwa na makombora