Kuna watu wanapigania mfumo kristo kwa kigezo cha utanganyika tuwakatae

Kazanazo

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2023
Posts
7,875
Reaction score
12,665
Kuna mlengo fulani wa kupigania Tanganyika huku ikionwa Zanzibar inainyonya Tanganyika

Watu hawa Wana ajenda fiche ya udini wakiona kuwa kuikomboa Tanganyika dhidi ya Zanzibar ni kuwatoa waislam madarakani

Ndugu zangu hizi ajenda tuzikatae Zanzibar na Tanganyika ni kitu kimoja na ni watu wamoja pia kama ni population ya waislamu Tanganyika tuko wengi sana kuanzia Tanga, Tabora, Lindi, Mtwara, Singida, Dodoma na mikoa mingi tu ya Tanzania bara

Tusikubali kugawanywa kidini kwa kigezo cha utanganyika tukatae kwa nguvu zote
 
So waliopo kwa sasa wanataka au wanatengeneza mfumo wa kiislamu?
 
Kuna mlengo fulani wa kupigania Tanganyika huku ikionwa Zanzibar inainyonya Tanganyika

Watu hawa Wana ajenda fiche ya udini wakiona kuwa kuikomboa Tanganyika dhidi ya Zanzibar ni kuwatoa waislam madarakani

Ndugu zangu hizi ajenda tuzikatae Zanzibar na Tanganyika ni kitu kimoja na ni watu wamoja pia kama ni population ya waislamu Tanganyika tuko wengi sana kuanzia Tanga, Tabora, Lindi, Mtwara, Singida, Dodoma na mikoa mingi tu ya Tanzania bara

Tusikubali kugawanywa kidini kwa kigezo cha utanganyika tukatae kwa nguvu zote

..familia nyingi huku Tanganyika zimechanganya ndugu ambao ni Waislamu, na Wakristo.

..ndugu zetu wa Zanzibar familia zao ni 100% Waislamu ktk familia na koo zao.

..Kuleta masuala na hoja za Wakristo dhidi ya Waislamu ni kuwagawa Watanganyika mpaka ngazi ya ukoo, na familia.
 
Huu muungano wa kijinga werevu tulianza kuukataa kitambo tu hata kabla ya Bi Hadija Koppa hajaokota dodo chini ya mwarobaini. Harakati zilishakuwepo tangu enzi hizo! Halafu kuna wapumbavu wachache wanaona ni sahihi kuuhusisha na dini!!
 
Kuna mlengo fulani wa kupigania Tanganyika huku ikionwa Zanzibar inainyonya Tanganyika

Watu hawa Wana ajenda fiche ya udini wakiona kuwa kuikomboa Tanganyika dhidi ya Zanzibar ni kuwatoa waislam madarakani
Huu ni UONGO, uzushi, ramli chonganishi na propaganda.

Hata sisi Waislamu wa Tanganyika tunadai uhuru wa Tanganyika yetu na uhuru wa Watanganyika kwa ujumla
 
Kwa hiyo unataka islamized tanzania kwa kuwa kuna waislam wengi mikoa ya tanzania bara. Umechemsha, mfumo unaotawala dunia nzima ni wa kikristo, penda usipende kale ubwabwa msikitini sheikh
 
Zanzibar kiukweli wanatunyonya, ingawa si kidini tunategwa kwa utanganyika wetu tu, hilo twalijua hata sisi Islam wa bara!
Samuya anataka atumie kete ya mwisho kutugawa ambayo anadai ni wakristo ndiyo hawamtaki. HAKUNA! ASHINDWE! Hata sisi Islam wenzake hatumtaki. Maandamano ni ya kudumu hadi hatoke.
 
🚮
Kwa hiyo waendelee kuonewa, kuibiwa, kutekwa, kufirwa, kuuawa..?

By the way, kete yenu ya udini ilisha buma.

Mimi Kazi yangu ni kuwakumbusha game ilivyokuwa kabla ya 29/10

👇🏾
 
Attachments

  • Screenshot_20251220-071210_1766204935841.jpg
    Screenshot_20251220-071210_1766204935841.jpg
    368.7 KB · Views: 31
Daima ukristo mbele, uislam nyuma, uislam ni itikadi ya kisiasa kama ukomunisti na ubepari tu, lazima ufutiliwe mbali duniani, ni janga kwa usalama wa dunia
 
Mimi Kazi yangu ni kuwakumbusha game ilivyokuwa kabla ya 29/10

👇🏾
Tujikumbushe kuhusu mauaji ya kikatili mno yaliyotekelezwa na serikali kupitia polisiccm, Kmkm na washirika wao tarehe 29/10/2025.

Kuna mlengo fulani wa kupigania Tanganyika huku ikionwa Zanzibar inainyonya Tanganyika

Watu hawa Wana ajenda fiche ya udini wakiona kuwa kuikomboa Tanganyika dhidi ya Zanzibar ni kuwatoa waislam madarakani

Ndugu zangu hizi ajenda tuzikatae Zanzibar na Tanganyika ni kitu kimoja na ni watu wamoja pia kama ni population ya waislamu Tanganyika tuko wengi sana kuanzia Tanga, Tabora, Lindi, Mtwara, Singida, Dodoma na mikoa mingi tu ya Tanzania bara

Tusikubali kugawanywa kidini kwa kigezo cha utanganyika tukatae kwa nguvu zote

Ndugu yangu umeandika ujinga mkubwa sana. Inaonekana kichwani mwako kumejaa fikra za udini.
Tangu enzi za uongozi wa Mwinyi, watu wanaiaka Setijali ta Tanganyika. Mpaka ikafika Bunge kupitisha azimio kwa kauli moja kuwa Serikali ya Tanganyika irudishwe. Serikali ikaridhia. Mwalimu Nyerere kwa kutumia kofia ya chama ndiye aliingilia kati na kufanikiwa kubatilisha uamuzi wa Bunge, na kumlaumu Mwinyi kwa nini Serikali imeridhia.
Wakati wa Kikwete, kupitia Tume ya Warioba, watanganyika na wazanzibari, wote walitaka iundwe Serikali ya Tanganyika.

Sasa kama una akili timamu, jiulize kama hao wote waliotaka Serikali ya Tanganyika kama walikuwa wakristo. Na hao wazanzibari waliotaka kuwepo serikali ya Tanganyika, ina maana ni wakristo?

Kwa kweli ukiona mtu anaelekeza mambo kwenye udini, huyo ni mpum.bavu. Watanzania hatuna mambo ya udini, tumeoleana, tuna mahusiano ya karibu, na undugu bila ya kujali dini. Mnaleta hoja za kijinga kuongelea mambo ya udini.

Mwalimu alisema kuwa waliofilisika akili na kisiasa, huwa wanapenda kunificha kwenye udini na ukabila. Wengine tuna akili timamu, huo udini utawaokota wajinga wenzako, siyo wenye akili.
 
Kama una akili timamu, utajua kuwa hawakupambania uhuru kwa mtazamo wa kidini, bali kama watanganyika.
 
Tujikumbushe kuhusu mauaji yaliyotekelezwa na serikali kupitia polisiccm, Kmkm na washirika wao tarehe 29/10/2025..

Dada Maria unapambana kweli haya endelea...
 
..familia nyingi huku Tanganyika zimechanganya ndugu ambao ni Waislamu, na Wakristo.

..ndugu zetu wa Zanzibar familia zao ni 100% Waislamu ktk familia na koo zao.

..Kuleta masuala na hoja za Wakristo dhidi ya Waislamu ni kuwagawa Watanganyika mpaka ngazi ya ukoo, na familia.
Ameleta hoja ya kipuuzi sana
 
Kuna mlengo fulani wa kupigania Tanganyika huku ikionwa Zanzibar inainyonya Tanganyika

Watu hawa Wana ajenda fiche ya udini wakiona kuwa kuikomboa Tanganyika dhidi ya Zanzibar ni kuwatoa waislam madarakani

Ndugu zangu hizi ajenda tuzikatae Zanzibar na Tanganyika ni kitu kimoja na ni watu wamoja pia kama ni population ya waislamu Tanganyika tuko wengi sana kuanzia Tanga, Tabora, Lindi, Mtwara, Singida, Dodoma na mikoa mingi tu ya Tanzania bara

Tusikubali kugawanywa kidini kwa kigezo cha utanganyika tukatae kwa nguvu zote
Je walio leta hijabu kwenye shule za serikali ni mfumo gani ? Kama kweli kuna watu wanapigania mfumo kristo basi hao watu wsna akili waungeni mkono hata kama nyinyi ni waislam....
Mfumo kristo ni bora kuliko migumo ya kiislamu
 
Back
Top Bottom