Kuna watu wanapigania mfumo kristo kwa kigezo cha utanganyika tuwakatae

Halafu ondoa ushenzi wako wa udini mpuuzi mkubwa wee! Nchi hii wakristo na waislam wanaishi pamoja na kushirikiana bila ubaguzi wa dini hakuna shida. Umerefusha madevu yako unashadidia uislam kana kwamba ni dini ya maana kumbe ni utumwa tu kifikra, shenzi kabisa. Nchi hii tulishaachaga kuulizana dini ni ujuha. We baki na uislam wako mpaka kiyama hakuna wa kukubughudhi unapoabudu miungu yako huko msikitini. Tena shindilia tende unywe maji ya zamzam mpaka uvimbiwe hakuna wa kukukera kwenye ujuha wa kidini
 
Kuna mlengo fulani wa kupigania Tanganyika huku ikionwa Zanzibar inainyonya Tanganyika

Watu hawa Wana ajenda fiche ya udini wakiona kuwa kuikomboa Tanganyika dhidi ya Zanzibar ni kuwatoa waislam madarakani

Ndugu zangu hizi ajenda tuzikatae Zanzibar na Tanganyika ni kitu kimoja na ni watu wamoja pia kama ni population ya waislamu Tanganyika tuko wengi sana kuanzia Tanga, Tabora, Lindi, Mtwara, Singida, Dodoma na mikoa mingi tu ya Tanzania bara

Tusikubali kugawanywa kidini kwa kigezo cha utanganyika tukatae kwa nguvu zote
SIKILIZA,ZANZIBAR NA TANGANYIKA SIO KITU KIMOJA.

USITAKE KUTUCHEZEA CHEZEA.
 
We ni mzanzibar? Maana mnajiona ni waislam watupu huko zanzibar kiasi cha kutaka bara nayo iwe na waislam wengi kama huko na muisilimishe tanzania nzima iwe jamhuri ya kiislam. Pumbavu kabisa, huo uislam wenyewe huko zanzibar ni athari za utawala wa waarabu wa oman ambao uislam ni mila, desturi na tamaduni zao. Msitake kuleta uislam conq bara. Bara haitakubali upuuzi huo na iliishakataa siasa hizo za kidini
 
Huko zanzibar kuna mpuuzi mmoja wakati wa kampeni alinadi sera kwamba ataimarisha madrasa na misikiti. Utopolo kama huo uje useme bara utaambulia kura za kikobazi tu. Bara ushenzi huo hautakiwi. Bara ina misingi yake imara hakuna wa kuitikisa, ukijaribu hakuna rangi utaacha kuona
 
Sisi waislamu wa huku Bara, tunawaombea sana Wazanzibari wapate nchi yao ijitawale yenyewe.
Hawa wagalatia wa huku bara, sisi tunakula nao sahani moja, ni kuna kakikundi kachache kanajifanya kuleta nyokonyoko lakini shuruba hawaiwezi, tulimtuma bingwa moja akawachana LIVE, kama mnataka liwake hapa watu watakatwa vichwa bila shida yoyote, naona wakaufyata,
Sasa wanamtumia yule shoga kitima atumie kanisa kuleta nyokonyoko, tunamuangalia tu, na kama wakileta fujo hi 25, ndio tunaifunga krisimasi, maana waliona D9 ilivyokuwa.
 
nadhani tunahitaji kuendelea kuungana na zanzibar, tumeshakuwa pamoja miaka mingi, kutengana kutaumiza mioyo yetu. hata ivyo, kuna maeneo mengi sana ya kurekebisha muungano, au la, utavunjika bila hata maandamano, maeneo hayo ni:
1. umiliki wa ardhi: zanzibar wanamiliki bongo ila bongo marufuku kule kwao, ati inaisha.
2. rekebisha asilimia ya ajira, vyeo serikalini. watanganyika wengi wanaona wanatawaliwa na wazanzibar
3. katiba mpya ije, iwe na serikali tatu, hata wakileta ile ya warioba inatosha. au la iwepo moja zanzibar ife kama ilivyokufa tanganyika;

haya niliyoongea ndio ukweli ulioko mtaani, kama hamtarekebisha haya muungano utakuta bila hata watu kuandamana. chukueni ushauri huu.
 
Kuna mlengo fulani wa kupigania Tanganyika huku ikionwa Zanzibar inainyonya Tanganyika

Watu hawa Wana ajenda fiche ya udini wakiona kuwa kuikomboa Tanganyika dhidi ya Zanzibar ni kuwatoa waislam madarakani

Ndugu zangu hizi ajenda tuzikatae Zanzibar na Tanganyika ni kitu kimoja na ni watu wamoja pia kama ni population ya waislamu Tanganyika tuko wengi sana kuanzia Tanga, Tabora, Lindi, Mtwara, Singida, Dodoma na mikoa mingi tu ya Tanzania bara

Tusikubali kugawanywa kidini kwa kigezo cha utanganyika tukatae kwa nguvu zote
Wamejificha kwenye utanganyika,rais akiwa wao hoja ya utanganyika hufa
 
Kuna mlengo fulani wa kupigania Tanganyika huku ikionwa Zanzibar inainyonya Tanganyika

Watu hawa Wana ajenda fiche ya udini wakiona kuwa kuikomboa Tanganyika dhidi ya Zanzibar ni kuwatoa waislam madarakani

Ndugu zangu hizi ajenda tuzikatae Zanzibar na Tanganyika ni kitu kimoja na ni watu wamoja pia kama ni population ya waislamu Tanganyika tuko wengi sana kuanzia Tanga, Tabora, Lindi, Mtwara, Singida, Dodoma na mikoa mingi tu ya Tanzania bara

Tusikubali kugawanywa kidini kwa kigezo cha utanganyika tukatae kwa nguvu zote
Ninyi mnaowapiga fimbo na kuwafunga wanaokula mwezi wa toba huko Zanzibar huwa mnapigania mfumo gani ewe kobaz
 
Kuna mlengo fulani wa kupigania Tanganyika huku ikionwa Zanzibar inainyonya Tanganyika

Watu hawa Wana ajenda fiche ya udini wakiona kuwa kuikomboa Tanganyika dhidi ya Zanzibar ni kuwatoa waislam madarakani

Ndugu zangu hizi ajenda tuzikatae Zanzibar na Tanganyika ni kitu kimoja na ni watu wamoja pia kama ni population ya waislamu Tanganyika tuko wengi sana kuanzia Tanga, Tabora, Lindi, Mtwara, Singida, Dodoma na mikoa mingi tu ya Tanzania bara

Tusikubali kugawanywa kidini kwa kigezo cha utanganyika tukatae kwa nguvu zote
Mko sawa ila huwezi kuwa hata mwenye kiti wa mtaa zenji,mko sawa huwezi miliki ardhi zenji,mko sawa wana katiba yao,bunge lao.
 
Kwa hiyo hapa mleta mada unawapinga wazanzibari ambao miaka yote wanadai muungano ufe au unampinga nani hasa?!
Tanganyika ni ya watanganyika...huo upumbavu wa dini wapelekee wapumbavu wenzio wasio na uelewa. Kinachofanyika sasa hivi kule Zanzibar ni kwa faida gani ya watanganyika?!
 
Kuna mlengo fulani wa kupigania Tanganyika huku ikionwa Zanzibar inainyonya Tanganyika

Watu hawa Wana ajenda fiche ya udini wakiona kuwa kuikomboa Tanganyika dhidi ya Zanzibar ni kuwatoa waislam madarakani

Ndugu zangu hizi ajenda tuzikatae Zanzibar na Tanganyika ni kitu kimoja na ni watu wamoja pia kama ni population ya waislamu Tanganyika tuko wengi sana kuanzia Tanga, Tabora, Lindi, Mtwara, Singida, Dodoma na mikoa mingi tu ya Tanzania bara

Tusikubali kugawanywa kidini kwa kigezo cha utanganyika tukatae kwa nguvu zote
Weka ushahidi wako solid hapa kwani wanaopigania Tanganyika yao wameipigania kwa vigezo solid.
Tanganyika ina Waislamu wengi na wana-chances sawa za kugombea uongozi kama ilivyo kwa madhehebu mengine, kwani na Zanzibar ilipokuwa ikipigania taifa lao ilikuwa ni kwa kigezo cha udini? I don’t think so.
Turudi kwenye uhalisia, Zanzibar waende kwao wanatunyonya na vinginevyo muungano uwe restructured baada lakini ya kufanyika opinion poll kujua majority wanautaka muungano au la na kama wanautaka je wanataka wa aina gani.
Simple and straightforward.
 
Waislam wa bara tumeshawastukia ajenda yenu kwa pamoja tumekataa kutumika kupigania mfumo kristo wenu na TEC yenu mnayokuja kwa propaganda za kupigania Tanganyika ujumbe uwafikie
 
..familia nyingi huku Tanganyika zimechanganya ndugu ambao ni Waislamu, na Wakristo.

..ndugu zetu wa Zanzibar familia zao ni 100% Waislamu ktk familia na koo zao.

..Kuleta masuala na hoja za Wakristo dhidi ya Waislamu ni kuwagawa Watanganyika mpaka ngazi ya ukoo, na familia.
Ni kweli ila propaganda lazima tuzichambue la si hivyo tutajikuta tunacheza ngoma isiyotuhusu
 
Back
Top Bottom