Kazanazo
JF-Expert Member
- Aug 16, 2023
- 7,875
- 12,665
- Thread starter
- #201
Basi ukae ukijua hata Tanzania bara tupo waislamu tunaoifutuata dini ukweli wa kuifuata sio hao mnaokula nao nguruwe makafiri wenzenu mnaowaita waislamu..kuna shida gani mtu kuitwa Asumani na akawa Muislamu?
..mbona Waislamu wa Senegal, Bourkinafaso, wanaitwa Fatima, Aminata, Kadija, ...?
..Ni matusi kusema Waislamu wa Tanganyika wanakula nguruwe na wasio Wakristo.
..kauli unazozitoa ndio zinazonifanya niamini huna ndugu Mkristo, na hivyo uwezekano mkubwa wewe ni Mzanzibari.
Na tumekataa kutumika kuendesha ajenda yenu ya kusimika mfumo kristo Tanganyika