Akili zako ni ndogo sana zinatosha kutawazia tu na kuvukia barabara.. lakin sitakulaumu sana maana sababu ya wewe kuwa na reasoning mbovu hivi ni KUKOSA ELIMU sahihi.
Kwa katiba ya sasa mtu hahitaji kuwa ni vyote hivyo ulivyoorodhesha hili akunyonye kupitia muungano kibogoyo kma huu, anachohitaji ni kushika madaraka tu basi.
Sasa hivi shetani samiya kupitia madaraka aliyonayo yeye ndio anaamua pesa za makusanyo yote ya ndani na zinatoka kwa wahisani ziende wapi na zikatumike vipi, na hakuna wa kumzuia hivyo basi hata akikata fungu la 70% na kulipeleka kujenga kwao Zanzibar hakuna wa kuhoji.
Yeye ndio anaamua rasilimali za Tanganyike azifanyie nini au amuuzie nani na kwa muda gani, na hakuna wa kumzuia.. tumeona alichokifanya kwenye bandari licha ya kukutana na upinzani mkali kwanzia kwa wanainchi mpaka kwenye taasisi za dini.
Sasa wewe na ufinyu wako wa kifikra unaanza kuuliza eti "mtu ana kunyonyaje hana bank kuu wala hatambuliki kwenye jumuiya ya kimataifa"...?? Rudi darasana Ngumbaru wewe.
Shetani samiya ameweza kuwaua watanganyika na bado akaendelea kuitawala kwa nguvu sababu ya hii katiba mbovu iliyopo.
Na watu wa aina yako ni hasara kubwa sana kwa taifa hili, maana mkimuangalia huyo shetani wa kizanzibari hamuoni jinsi anavyoliharibu hili taifa kwa maslahi yake na familia yake, sana sana nyie mmejikita kumlinda kwa sababu ya uislamu wake, ovyo sana nyie.