Huo ndio uelewa ulio nao! Hapo umejibu swali langu?!Tanzania ni wamoja hizo propaganda zenu za mfumo kristo kwa kivuli cha utanganyika tumekikataa
Ni uongo kuwa wazanzibari wamekuwa wakidai kujitoa kwenye muungano?
Huo ndio uelewa ulio nao! Hapo umejibu swali langu?!Tanzania ni wamoja hizo propaganda zenu za mfumo kristo kwa kivuli cha utanganyika tumekikataa
Hamna cha kuhamisha magoli hicho unachokiita kupambania Tanganyika ni ajenda ya kusimika mfumo kristo tumekataa kutumika wazanzibari na watanganyika ni kitu kimoja na ili uamini kwanini akiwa rais muislam TEC ndio kelele za utanganyika zinasikika kuliko akiwa mkatoliki?ila hapa usihamishe magoli kwani TEC unaweza kuwafungulia uzi nao tukawajadili kwa kina
Huoni mnaitawala Zanzibar kijeshi na kifedha kwa kuwapangia cha kuwapa na mipaka yao haipo huru hulioni hilo? Unaona la kumiliki tu ardhi na vitu vidogo vidogo kama leseni acheni ubinafsiSina tatizo hata wakiwa na hivyo vyote. Kwani inaongeza thamani gani kwa Tanganyika kuwa navyo hivyo vyote dhidi ya Zanzibar?
Ukiwa na akili na ukaitumia vizuri utang'amua ila ukiamua kuitumia akili vice versa utamea na hizi propaganda za kupigania utanganyika ambao hupigania pale tu rais akiwa muislamHivi kuna kauli gani za udini ama mfumo Kristo zilizotolewa na Kanisa uziweke wazi moja baada ya nyingine tuzijue?
Kuna kauli za udini, ujinsia na Uzanzibari zaidi ya zilizotolewa na Rais Samia pamoja na mashehe ubwabwa kwa malengo ya kutuvuruga?
Bwana mzee, jitathimini sana.
Mama yangu mdogo mkatoliki aliolewa na muislam, akabadili dini, amezaa waislam...familia nyingi huku Tanganyika zimechanganya ndugu ambao ni Waislamu, na Wakristo.
..ndugu zetu wa Zanzibar familia zao ni 100% Waislamu ktk familia na koo zao.
..Kuleta masuala na hoja za Wakristo dhidi ya Waislamu ni kuwagawa Watanganyika mpaka ngazi ya ukoo, na familia.
Sawa ila tumegoma kuandamana tumewakataa Tanganyika na Zenji ni ndugu wa kuoleana na kuzaliana ukienda Tanga wapemba kibao na maisha ni burudani kabisaHakuna punguani wa akili wa kiwango chako ambaye anaweza kuchukua ujumbe kwa mtu mwendawazimu. Ulivyoandika tu, inaonesha wewe ni mwendawazimu usiyejitambua. Shughulikia tatizo lako la akili kuliko kuendelea kuweka kiburi cha kugomea matibabu.
Uhuru wa Tanzania uliletwa na Waislam leo mnawadharau kwa Ukafiri wenuWaislamu walipambania uhuru wa nchi gani, Zanzibar au Tanganyika?
Wana hoja gani hao TEC? hawana hoja zozote kujificha kwenye kichaka cha utanganyika bila kujua Zanzibar na Tanganyika ni ndugu wa kuoleana na kuzaanaKazanazo acha kuwashindilia TEC propaganda chafu, jibuni hoja zao bila kuingiza udini. mmebanwa mbavu kwa vitendo vyenu viovu ikabidi mkimbilie udini mkidhani ni kichaka cha kujifichia huko. ukileta propaganda za udini utaonekana huna akili, bora u stick hapo hapo kwenye utanganyika na uzanzibar, kama vipi zanzibar ioneshwe mlango wa kutokea ikiwa muungano hauna faida kwa tanganyika
Wakati TEC wanapambana na Magufuli nyinyi BAKWATA mlikuwa busy mnamlamba miguu, kukimbia shule mnashindwa hata kuwa na simple logical sensible arguments mnakimbilia udini. This time around it's not gonna work, secondly sisi na Wazanzibari si wamoja hapo Nyerere alituingiza chaka bovu.Hamna cha kuhamisha magoli hicho unachokiita kupambania Tanganyika ni ajenda ya kusimika mfumo kristo tumekataa kutumika wazanzibari na watanganyika ni kitu kimoja na ili uamini kwanini akiwa rais muislam TEC ndio kelele za utanganyika zinasikika kuliko akiwa mkatoliki?
Sasa kama mko wengi kwa nini hamtaki katiba mpya, Tume huru, uchaguzi ulio wazi, tunachagua mtu competitive na mwenye uwezo? Vitu hivi vikiwa wazi hakuna mfumo dume wala mifumo msemao nyie itakuwepo.Kuna mlengo fulani wa kupigania Tanganyika huku ikionwa Zanzibar inainyonya Tanganyika
Watu hawa Wana ajenda fiche ya udini wakiona kuwa kuikomboa Tanganyika dhidi ya Zanzibar ni kuwatoa waislam madarakani
Ndugu zangu hizi ajenda tuzikatae Zanzibar na Tanganyika ni kitu kimoja na ni watu wamoja pia kama ni population ya waislamu Tanganyika tuko wengi sana kuanzia Tanga, Tabora, Lindi, Mtwara, Singida, Dodoma na mikoa mingi tu ya Tanzania bara
Tusikubali kugawanywa kidini kwa kigezo cha utanganyika tukatae kwa nguvu zote
Hivyo hivyo pia wazanzibari na watanganyika wameoleana na kuzaana na ni ndugu wa damu kabisa unawezaje kushika bunduki na kumuua mzanzibari au mtanganyika wakati wote ni ndugu?Mama yangu mdogo mkatoliki aliolewa na muislam, akabadili dini, amezaa waislam.
Dada yangu aliolewa na muislam akaza waislam, mwingine karudi ukristo kwa mama yake ukubwani.
Baba yangu alioa muislam baada ya kufiwa na mkewe mkristo. Amepata watoto wakristo ambaye mmoja amerudi kwenye uislam wa mama yake.
Mimi mwenyewe bado kidogo nioe msomali muislam...nikabadili gia angani sababu za masomo.
Hali ipo hivyo Tanganyika kote.
Leo siwezi shika bunduki nikauwe Kaka na dada waislam ndugu zangu au watoto wa dada zangu.
Huwezi kuwakataa hao ndugu zangu waislam wasishike uongozi wa nchi.
Waliitwa magaidi kwakuwa walitanguliza dini mbele na wakatoliki wakaungana na Serikali kuwakataa na hivyo hivyo sasa hivi tuwakatae hawa wanaopambania mfumo kristo kwa jina la utanganyikaHuo ndio uelewa ulio nao! Hapo umejibu swali langu?!
Ni uongo kuwa wazanzibari wamekuwa wakidai kujitoa kwenye muungano?
Walitanguliza dini gani mbele?!Waliitwa magaidi kwakuwa walitanguliza dini mbele na wakatoliki wakaungana na Serikali kuwakataa na hivyo hivyo sasa hivi tuwakatae hawa wanaopambania mfumo kristo kwa jina la utanganyika
Kama uchi haufai kwa nini viliumbwa ....muulize mudi boy alikuwa ana dinywa nyuchi hadi WAHY UNASHUKA ...kasome kisa cha muhammad kudinya mjakazi wa mkewe kwenye chumba ya mkewe ...Bado na kanzu pia maana ukiristo umezoea kuweka watu uchi hata kanisani wanaenda chupi zinaonekana na ndio wanachopambania sasa kwa kujificha kwenye utanganyika
Kwahiyo katiba mpya na tume huru ilikuwepo kipindi cha mkapa na magufuli ila kwa Kikwete na Samia haikuwepo?Sasa kama mko wengi kwa nini hamtaki katiba mpya, Tume huru, uchaguzi ulio wazi, tunachagua mtu competitive na mwenye uwezo? Vitu hivi vikiwa wazi hakuna mfumo dume wala mifumo msemao nyie itakuwepo.
Weka katika ieleweke, tuanze kuishi.