Kuna watu wanapigania mfumo kristo kwa kigezo cha utanganyika tuwakatae

Kuna watu wanapigania mfumo kristo kwa kigezo cha utanganyika tuwakatae

Mko sawa ila huwezi kuwa hata mwenye kiti wa mtaa zenji,mko sawa huwezi miliki ardhi zenji,mko sawa wana katiba yao,bunge lao.
Ila pia hawana Bank kuu, hawatambuliki UN, hawana jeshi wala Bodi ya mapato
 
Kwa hiyo hapa mleta mada unawapinga wazanzibari ambao miaka yote wanadai muungano ufe au unampinga nani hasa?!
Tanganyika ni ya watanganyika...huo upumbavu wa dini wapelekee wapumbavu wenzio wasio na uelewa. Kinachofanyika sasa hivi kule Zanzibar ni kwa faida gani ya watanganyika?!
Tanzania ni wamoja hizo propaganda zenu za mfumo kristo kwa kivuli cha utanganyika tumekikataa
 
Tangu enzi za uongozi wa Mwinyi, watu wanaiaka Setijali ta Tanganyika. Mpaka ikafika Bunge kupitisha azimio kwa kauli moja kuwa Serikali ya Tanganyika irudishwe. Serikali ikaridhia. Mwalimu Nyerere kwa kutumia kofia ya chama ndiye aliingilia kati na kufanikiwa kubatilisha uamuzi wa Bunge, na kumlaumu Mwinyi kwa nini Serikali imeridhia.
Wakati wa Kikwete, kupitia Tume ya Warioba, watanganyika na wazanzibari, wote walitaka iundwe Serikali ya Tanganyika.

Sasa kama una akili timamu, jiulize kama hao wote waliotaka Serikali ya Tanganyika kama walikuwa wakristo. Na hao wazanzibari waliotaka kuwepo serikali ya Tanganyika, ina maana ni wakristo?
Kwanini Tanganyika idaiwe wakati rais akiwa Mwinyi na Kikwete tu?.

Kwanini Nyerere aingilie kati wakati yupo nje ya serikali tena ana mlaumu rais wa nchi?.

Wakati wa Mkapa na Magufuli kwanini haijadaiwa Tanganyika?.
 
Weka ushahidi wako solid hapa kwani wanaopigania Tanganyika yao wameipigania kwa vigezo solid.
Tanganyika ina Waislamu wengi na wana-chances sawa za kugombea uongozi kama ilivyo kwa madhehebu mengine, kwani na Zanzibar ilipokuwa ikipigania taifa lao ilikuwa ni kwa kigezo cha udini? I don’t think so.
Turudi kwenye uhalisia, Zanzibar waende kwao wanatunyonya na vinginevyo muungano uwe restructured baada lakini ya kufanyika opinion poll kujua majority wanautaka muungano au la na kama wanautaka je wanataka wa aina gani.
Simple and straightforward.
Ni kweli kwa sasa waislamu wana chance sawa ya kugombania uongozi Tanzania nzima na hilo ndio linawauma TEC akiingia tu rais muislam matamko buku na sasa wamejificha kwenye kichaka cha utanganyika
 
Mtanganyika anaweza kuwa kiongozi Znz? Anaweza kumiliki ardhi Znz? Ila mzanzibar anaweza kupata vyote hivyo huku Tangayika. Muungano wa kihuni sasa basi.
Ushawahi kujiuliza kwanini Zanzibar haina Bank kuu, Jeshi wala Mahakama kuu?
 
Ni kweli kwa sasa waislamu wana chance sawa ya kugombania uongozi Tanzania nzima na hilo ndio linawauma TEC akiingia tu rais muislam matamko buku na sasa wamejificha kwenye kichaka cha utanganyika
TEC hawajawahi kuzungumzia hilo, mashehe ndiyo kila mara huzungumzia TEC but not the other way around ila hapa usihamishe magoli kwani TEC unaweza kuwafungulia uzi nao tukawajadili kwa kina hapa topic ni kwamba hatuutaki muungano wa kinyonyaji bila kujali ulifanywa na TEC au na TANU au na ASP au na yoyote yule kwani as for now tumeustukia unanufaisha watu wachache wa upande mmoja kwa kutumia resources za upande mwingine. Wazanzibari warudi kwao na kama kuna haja ya kuujadili muungano tuanze upya basis ikiwa ni opinion polls za raia wa pande zote mbili.
 
Ushawahi kujiuliza kwanini Zanzibar haina Bank kuu, Jeshi wala Mahakama kuu?
Sina tatizo hata wakiwa na hivyo vyote. Kwani inaongeza thamani gani kwa Tanganyika kuwa navyo hivyo vyote dhidi ya Zanzibar?
 
Kuna mlengo fulani wa kupigania Tanganyika huku ikionwa Zanzibar inainyonya Tanganyika

Watu hawa Wana ajenda fiche ya udini wakiona kuwa kuikomboa Tanganyika dhidi ya Zanzibar ni kuwatoa waislam madarakani

Ndugu zangu hizi ajenda tuzikatae Zanzibar na Tanganyika ni kitu kimoja na ni watu wamoja pia kama ni population ya waislamu Tanganyika tuko wengi sana kuanzia Tanga, Tabora, Lindi, Mtwara, Singida, Dodoma na mikoa mingi tu ya Tanzania bara

Tusikubali kugawanywa kidini kwa kigezo cha utanganyika tukatae kwa nguvu zote
Hivi kuna kauli gani za udini ama mfumo Kristo zilizotolewa na Kanisa uziweke wazi moja baada ya nyingine tuzijue?

Kuna kauli za udini, ujinsia na Uzanzibari zaidi ya zilizotolewa na Rais Samia pamoja na mashehe ubwabwa kwa malengo ya kutuvuruga?

Bwana mzee, jitathimini sana.
 
Bado na kanzu pia maana ukiristo umezoea kuweka watu uchi hata kanisani wanaenda chupi zinaonekana na ndio wanachopambania sasa kwa kujificha kwenye utanganyika
watu wakiwa uchi hata bila chupi ni asili yao. Chupi zimeanza kuvaliwa miaka ya karibuni, watu walitembea uchi na haikuwa ajabu
 
Waislam wa bara tumeshawastukia ajenda yenu kwa pamoja tumekataa kutumika kupigania mfumo kristo wenu na TEC yenu mnayokuja kwa propaganda za kupigania Tanganyika ujumbe uwafikie


Hakuna punguani wa akili wa kiwango chako ambaye anaweza kuchukua ujumbe kwa mtu mwendawazimu. Ulivyoandika tu, inaonesha wewe ni mwendawazimu usiyejitambua. Shughulikia tatizo lako la akili kuliko kuendelea kuweka kiburi cha kugomea matibabu.
 
Acha Ukafiri wewe Chogo wa bara
huku hakunaga uislam mjuba, huo uislam wenu uishie hukohuko mchambawima. Huku wafadhili wa kiislam wamejenga vimisikiti vingi hadi vichakani kando ya barabara kuu lakini hakuna anayeswali, vijumba hivyo vimegeuka kuwa maficho ya popo na bundi
 
Huu ni UONGO, uzushi, ramli chonganishi na propaganda.

Hata sisi Waislamu wa Tanganyika tunadai uhuru wa Tanganyika yetu na uhuru wa Watanganyika kwa ujumla
Usitujumuishe waislamu wote. Waislam tunaamini katika umoja. Hata tukiunganishwa na Kenya na Uganda poa tu, ila sio kutuenfanisha na Zanzibar. Zanzibar na Sisi ni dugu moya.
 
huku hakunaga uislam mjuba, huo uislam wenu uishie hukohuko mchambawima. Huku wafadhili wa kiislam wamejenga vimisikiti vingi hadi vichakani kando ya barabara kuu lakini hakuna anayeswali, vijumba hivyo vimegeuka kuwa maficho ya popo na bundi
Uislam upo dunian pote wewe
 
Kazanazo acha kuwashindilia TEC propaganda chafu, jibuni hoja zao bila kuingiza udini. mmebanwa mbavu kwa vitendo vyenu viovu ikabidi mkimbilie udini mkidhani ni kichaka cha kujifichia huko. ukileta propaganda za udini utaonekana huna akili, bora u stick hapo hapo kwenye utanganyika na uzanzibar, kama vipi zanzibar ioneshwe mlango wa kutokea ikiwa muungano hauna faida kwa tanganyika
 
Huwa sipendi udini mjuba, usiniletee habari za udini
 
Back
Top Bottom