Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 17,119
- 32,195
Angalia familia ya Hussein Mwinyi my role model.Hivyo hivyo pia wazanzibari na watanganyika wameoleana na kuzaana na ni ndugu wa damu kabisa unawezaje kushika bunduki na kumuua mzanzibari au mtanganyika wakati wote ni ndugu?
Watu waliokosa uhalili au fikra ndani ya CCM wanawatumia wengi kufanikisha uhuni wao.
Hao ndiyo wanaleta na kueneza habari za udini na uzanzibar au utanganyika.
Wanajaribu kutatua tatizo kwa kutengeneza tatizo lingine kubwa zaidi.