Kuna watu wanapigania mfumo kristo kwa kigezo cha utanganyika tuwakatae

Kuna watu wanapigania mfumo kristo kwa kigezo cha utanganyika tuwakatae

..Ustaadh Ilunga Kapunga badala ya kutetea Waislamu alijikita kushambulia Wakristo.

..badala ya kuichagiza serikali iwainue Waislamu kama raia wake, Ustaadh Kapungu alijielekeza kushambulia Wakristo wakati wote.

..mtu mzima kama yule, na Mtanganyika, alipaswa kutuunganisha badala ya kutugawa.
Hoja zake zilijibiwa? Au alikuwa anasema uongo?
 
Uongo huu,
Asilimia kubwa ya Wazanzibari hawautaki muungano tangu siku nyingi. Na hiyo ndio sababu hata rais wao wa zamani Aboud Jumbe alitumbuliwa kinyemela. Je, hao Wazenji sio waislamu?
Si waliitwa magaidi mkaunga mkono hoja kwanini wasasa tukiwaita wahaini mnasema tunalipwa elf7?
 
Hoja zake zilijibiwa? Au alikuwa anasema uongo?

..Ustaadh Kapungu alikuwa akipindisha ukweli, ama kwa kutokujua, au kwa makusudi.

..hoja zake hazikujibiwa wala kufanyiwa kazi hata na Maraisi Waislamu kama yeye Ustaadh Kapunga.
 
Kwahiyo nyie mliokuwa mkiwaita wazanzibari magaidi ndio mlikuwa mnasema kweli?

..Wazanzibari nao huwaita Watanganyika makafiri.

..huwezi kukuta Muislamu wa Tanganyika akamuita Mkristo wa Tanganyika kafiri.

..ndio maana nazidi kusisitiza kwamba Watanganyika tumechanganyika kidini.
 
..Wazanzibari nao huwaita Watanganyika makafiri.

..huwezi kukuta Muislamu wa Tanganyika akamuita Mkristo wa Tanganyika kafiri.

..ndio maana nazidi kusisitiza kwamba Watanganyika tumechanganyika kidini.
Kwahiyo unakataa wakiristo sio makafiri? Kwani kitabu ndio kinasema au wazanzibari ndio husema
 
Kwahiyo unakataa wakiristo sio makafiri? Kwani kitabu ndio kinasema au wazanzibari ndio husema

..Waislamu na Wakristo tumechangamana kifamilia huku Tanganyika.

..jina kafiri, hata kama limo ktk maandiko Matakatifu, Watanganyika huwa hatulitumii.

..Waislamu na Wakristo wa Kitanganyika ni nadra sana kuitana majina mabaya, na kudhalilishana.
 
HII CHUKI NA HILI JAMBO LINACHOCHEWA NA HAWA JAMAA WENYE ELIMU NDOGO YA THEOLOJIA WANAJIITA TEC N.K

WANASAHAU WAISLAMU WALIPAMBANIA UHURU WA HII NCHI SANA
Wewe ndio sasa unataka kuleta udini. Uhuru wa Tanganyika ulipiganiwa na watu wa dini zote na hata wasio na dini hivyo acha uongo wa kijinga.

Sababu zilizopelekea muungano kuwepo hazipo tena na sasa badala yake huu muungano ndio unatumiwa kugawa watu hivyo yafaa ufikie mwisho.

Truly speaking, this union is prejudicial to its existence and the reasons that led to its establishment have been overtaken by events so it needs to cease. Union has outlived its usefulness.
 
Sio sisi, ni serikali hiyo ya majizi, mafisadi, watekaji, wafiraji, wauaji unaowatetea wewe
Basi tulieni na nyie dawa iwaingie ni zamu yenu tupo busy tunadili na wahaini wa nchi hii
 
..Waislamu na Wakristo tumechangamana kifamilia huku Tanganyika.

..jina kafiri, hata kama limo ktk maandiko Matakatifu, Watanganyika huwa hatulitumii.

..Waislamu na Wakristo wa Kitanganyika ni nadra sana kuitana majina mabaya, na kudhalilishana.
Kwahiyo kuchanganyika kunazuia ukweli kuwa mkiristo ni kafiri?

Yani badala ya kushughulika na kitabu kilichoandika washughulika na msomaji
 
Kwahiyo kuchanganyika kunazuia ukweli kuwa mkiristo ni kafiri?

Yani badala ya kushughulika na kitabu kilichoandika washughulika na msomaji

..Mtanganyika Muislamu hawezi kumdhalilisha ndugu yake Mkristo na kumuita kafiri.

..Ndio maana katika hoja yangu ya awali kabisa nilikueleza kwamba nyinyi Wazanzibari familia zenu ni 100% Waislamu. Kwasababu hiyo hamuwezi kuishi na Wakristo vile ambavyo Waislamu wa Tanganyika wanaishi nao.
 
Kwa hiyo unataka islamized tanzania kwa kuwa kuna waislam wengi mikoa ya tanzania bara. Umechemsha, mfumo unaotawala dunia nzima ni wa kikristo, penda usipende kale ubwabwa msikitini sheikh
Licha ya hivyo tu Tanganyika waKristo ni wengi kuliko waIslam
 
..Mtanganyika Muislamu hawezi kumdhalilisha ndugu yake Mkristo na kumuita kafiri.

..Ndio maana katika hoja yangu ya awali kabisa nilikueleza kwamba nyinyi Wazanzibari familia zenu ni 100% Waislamu. Kwasababu hiyo hamuwezi kuishi na Wakristo vile ambavyo Waislamu wa Tanganyika wanaishi nao.
Kumbe kumuita mtu kafiri ni kumdhalilisha!

Ndio maana mnawapenda waislamu ila kitabu chao hamkipendi

Na wengi wa waislamu majina ndio hupendwa na wakiristo baada ya kufanikisha ajenda yenu ya kuwapotosha na kuacha mafundisho ya dini yao

Na hiyo ndio hufanya hizi harakati kupewa jina la utanganyika maana maaskofu wanawaona waislam wa bara ni kama wao kwa maana hawana tishio kwa kanisa hata kama wakiifisidi Serikali kwa kupendelewa hata hawahoji

Hata uamsho walitoka Zenji na sio bara kiufupi mmefanikiwa kuwashika akili
 
..Watanganyika tunachukulia kama NDUGU kwanza. Masuala ya Uislamu, na Ukristo, huwa ni Ijumaa, na Jumapili, baada ya hapo undugu unaendelea.

..Wazanzibar hali hiyo ya maelewano na upendo baina ya Watanganyika lazima iwape shida kwasababu nyinyi ni jamii ambayo ni 100% Waislamu, na mnaamini kwamba Mkristo ni KAFIRI.

..Malumbano ya UDINI huku Tanganyika ni mambo ya kupandikizwa na watu wasio wenyeji wa hapa.
 
Sisi na nani? Are sure mimi ni mzanzibari?

Lubuni waislamu majina sio mimi

Hao wanaoitwa Asumani mnaokula wote nguruwe na kukutana bar

Waislam nchi hii tuna mengi ya kusema ni vile tumechagua upande wa amani miaka yote ila nyie mkiguswa tu mnapambania Tanganyika yenu
 
..kuna shida gani mtu kuitwa Asumani na akawa Muislamu?

..mbona Waislamu wa Senegal, Bourkinafaso, wanaitwa Fatima, Aminata, Kadija, ...?

..Ni matusi kusema Waislamu wa Tanganyika wanakula nguruwe na wasio Wakristo.

..kauli unazozitoa ndio zinazonifanya niamini huna ndugu Mkristo, na hivyo uwezekano mkubwa wewe ni Mzanzibari.
 
Wewe kafiri mkubwa, ni nani aliwalazimisha hao akina fundikira wamuachie Nyerere hiyo nafasi?
Makafiri ni nyie msiofuata njia ya Mtume wa mwenyezi Mungu (S.A.W)

Waislam hawakuwa na chuki kiasi cha kushindwa kumpa madaraka Mtu mwenye karama hiyo na uhitaji wa uongozi, hatuna roho kama za wagalatia
 
Back
Top Bottom