So waliopo kwa sasa wanataka au wanatengeneza mfumo wa kiislamu?Kuna mlengo fulani wa kupigania Tanganyika huku ikionwa Zanzibar inainyonya Tanganyika
Watu hawa Wana ajenda fiche ya udini wakiona kuwa kuikomboa Tanganyika dhidi ya Zanzibar ni kuwatoa waislam madarakani
Ndugu zangu hizi ajenda tuzikatae Zanzibar na Tanganyika ni kitu kimoja na ni watu wamoja pia kama ni population ya waislamu Tanganyika tuko wengi sana kuanzia Tanga, Tabora, Lindi, Mtwara, Singida, Dodoma na mikoa mingi tu ya Tanzania bara
Tusikubali kugawanywa kidini kwa kigezo cha utanganyika tukatae kwa nguvu zote
Kuna mlengo fulani wa kupigania Tanganyika huku ikionwa Zanzibar inainyonya Tanganyika

Huu ni UONGO, uzushi, ramli chonganishi na propaganda.Kuna mlengo fulani wa kupigania Tanganyika huku ikionwa Zanzibar inainyonya Tanganyika
Watu hawa Wana ajenda fiche ya udini wakiona kuwa kuikomboa Tanganyika dhidi ya Zanzibar ni kuwatoa waislam madarakani
🚮HII CHUKI NA HILI JAMBO LINACHOCHEWA NA HAWA JAMAA WENYE ELIMU NDOGO YA THEOLOJIA WANAJIITA TEC N.K
WANASAHAU WAISLAMU WALIPAMBANIA UHURU WA HII NCHI SANA
🚮
Kwa hiyo waendelee kuonewa, kuibiwa, kutekwa, kufirwa, kuuawa..?
By the way, kete yenu ya udini ilisha buma.
Tujikumbushe kuhusu mauaji ya kikatili mno yaliyotekelezwa na serikali kupitia polisiccm, Kmkm na washirika wao tarehe 29/10/2025.Mimi Kazi yangu ni kuwakumbusha game ilivyokuwa kabla ya 29/10
👇🏾
Kuna mlengo fulani wa kupigania Tanganyika huku ikionwa Zanzibar inainyonya Tanganyika
Watu hawa Wana ajenda fiche ya udini wakiona kuwa kuikomboa Tanganyika dhidi ya Zanzibar ni kuwatoa waislam madarakani
Ndugu zangu hizi ajenda tuzikatae Zanzibar na Tanganyika ni kitu kimoja na ni watu wamoja pia kama ni population ya waislamu Tanganyika tuko wengi sana kuanzia Tanga, Tabora, Lindi, Mtwara, Singida, Dodoma na mikoa mingi tu ya Tanzania bara
Tusikubali kugawanywa kidini kwa kigezo cha utanganyika tukatae kwa nguvu zote
Dada Maria unapambana kweli haya endelea...Tujikumbushe kuhusu mauaji yaliyotekelezwa na serikali kupitia polisiccm, Kmkm na washirika wao tarehe 29/10/2025..
PostGE2025 - Video zaidi ya 300 za mauaji yaliyofanywa wakati wa uchaguzi zimewekwa kwenye google drive: Pitia link hii
Angalizo: Video hizi zinatisha na zinaweza kukuletea msongo wa mawazo au kuku traumatize. Kuwa makini. Pole nyingi kwa watanzania wote. Google drive link: Samia Massacre Oct 2025 – Google Driveshare.google
Ameleta hoja ya kipuuzi sana..familia nyingi huku Tanganyika zimechanganya ndugu ambao ni Waislamu, na Wakristo.
..ndugu zetu wa Zanzibar familia zao ni 100% Waislamu ktk familia na koo zao.
..Kuleta masuala na hoja za Wakristo dhidi ya Waislamu ni kuwagawa Watanganyika mpaka ngazi ya ukoo, na familia.
Je walio leta hijabu kwenye shule za serikali ni mfumo gani ? Kama kweli kuna watu wanapigania mfumo kristo basi hao watu wsna akili waungeni mkono hata kama nyinyi ni waislam....Kuna mlengo fulani wa kupigania Tanganyika huku ikionwa Zanzibar inainyonya Tanganyika