Kuna wazazi wanawaandaa watoto wao kuwa watumwa katika hii nchi. Mtoto anamaliza darasa la 7 hata wiki haiishi anapelekwa kusoma pre form one.

Ta
Kwa sasa serikali ina wastani wa watumishi 700k, sekta binafsi wenye mikataba ya maana ni kama millioni 1 tu.
Tuseme hivi waajiriwa wenye maslahi angalau hapa nchini ni kama millioni 2 tu.
Wengi ni vibarua, nikimaanisha wengi wana mikataba mifupi .
Idadi ya wasomi inaongezeka kila leo.
Zamani ukiwa na diploma unaonekana msomi, sasa hivi hata wenye bachelor wanakaribia kuondolewa au kujiondoa kwenye kundi la wasomi.
Mtoto anamaliza darasa la 7, form 4, 6 au chuo mzazi alipaswa kumfundisha maisha ya kujitegemea.
Kuna kilimo, biashara au ufundi stadi.
Huyu mtoto baadaye akifika level ya juu ya elimu kama hataajiriwa kwa mkataba wenye maslahi hatakubali kuwa mtumwa kwa kuajiriwa mikataba ya hovyo. Badala yake atatumia kile alichofundishwa na mzazi wake. Ataanza hata kufuga kuku 20 wa mayai kuliko kwenda kufanya vibarua vya kitumwa.
Sasa mtoto humjengi katika msingi wowote unategemea nini ?
Hawa ndio wale wanapita kuzunguka na bahasha Kila siku. Mtu ana shahada ya uhandisi mitambo anakuambia nisaidie hata kazi ya usafi nipate hali ngumu.
Miaka 4 yako ya chuo ni void?
Ungetaka kazi ya usafi si ungeenda VETA upige miezi 3 fresh .
Mimi nimeanza kumfundisha mwanangu kuuza duka weekend na siku za kazi jioni amwagilie bustani ya mbogamboga na kulishia kuku.
Kuna wahitimu wengi wa degree wanafanya kazi za kulipwa 5000/=kwa siku. Huruma
Tatizo walio wengi wanadharau hoja za KISHIMBA pale anapokuwa kwenye vikao vya CCM pale Dodoma.
 
Takwimu zako za uongo,serikali ina watumishi zaidi ya 2M
 
Wasomi wanamshambulia mtoa maada Kwa sababu ya kunena ukweli mchungu.

Hadi 2023 Kuna fresher wanaenda kusoma BaED ya kiswz na his/geo je, Wana akili timamu au ?
Utimamu wautoe wapi?
Sasa usome degree ya Kiswahili ya nini katika maisha zaidi ya kuwaza ajira?
 
Mimi pia nina degree ya chuo cha Diplomasia. Ila ni kweli wasomi wengi uwezo wao kichwani mdogo sana.
Kipindi nipo fresh form six na gamba la JKT nimewakuta kazini wasomi wengine uwezo mdogo sana.
Mbaba mmoja alikuwa na Masters sasa hivi ana PhD anatia huruma.

Ofisi za umma kuna vilaza wengi sana hadi inatia huruma.

Kunahaja ya kufanya mchujo wa hali ya juu kwa watumishi wa umma hasa ngazi za halmashauri.
 
Kwa sasa serikali ina wastani wa watumishi 700k, sekta binafsi wenye mikataba ya maana ni kama millioni 1 tu.
Tuseme hivi waajiriwa wenye maslahi angalau hapa nchini ni kama millioni 2 tu.
Wengi ni vibarua, nikimaanisha wengi wana mikataba mifupi .
Idadi ya wasomi inaongezeka kila leo.
Zamani ukiwa na diploma unaonekana msomi, sasa hivi hata wenye bachelor wanakaribia kuondolewa au kujiondoa kwenye kundi la wasomi.
Mtoto anamaliza darasa la 7, form 4, 6 au chuo mzazi alipaswa kumfundisha maisha ya kujitegemea.
Kuna kilimo, biashara au ufundi stadi.
Huyu mtoto baadaye akifika level ya juu ya elimu kama hataajiriwa kwa mkataba wenye maslahi hatakubali kuwa mtumwa kwa kuajiriwa mikataba ya hovyo. Badala yake atatumia kile alichofundishwa na mzazi wake. Ataanza hata kufuga kuku 20 wa mayai kuliko kwenda kufanya vibarua vya kitumwa.
Sasa mtoto humjengi katika msingi wowote unategemea nini ?
Hawa ndio wale wanapita kuzunguka na bahasha Kila siku. Mtu ana shahada ya uhandisi mitambo anakuambia nisaidie hata kazi ya usafi nipate hali ngumu.
Miaka 4 yako ya chuo ni void?
Ungetaka kazi ya usafi si ungeenda VETA upige miezi 3 fresh .
Mimi nimeanza kumfundisha mwanangu kuuza duka weekend na siku za kazi jioni amwagilie bustani ya mbogamboga na kulishia kuku.
Kuna wahitimu wengi wa degree wanafanya kazi za kulipwa 5000/=kwa siku. Huruma
Hongera kwa maono thabiti. Ukweli lazima usemwe,kama haitoshi Ukweli mchungu lazima usemwe zaidi[emoji3]
 
Elimu bado ni muhimu sana, kwanza ni uwekezaji wa muda mrefu sana.
 
Mleta uzi mbona mtoto anaweza soma pre-form one na pia ukampa kazi za nyumbani afanye? Jomba kabla ya kumfundisha sijui kufuga kuku na ishu zingine hakikisha upande wa elimu ya darasani uko imara sana. Hayo mambo ya kufuga kuku yasiwe mbadala wa elimu. Elimu hainaga mbadala. Siku hizi naona watu wengi sana wanajazana ujinga wa kuanza kudharau elimu. Viongozi wakubwa, wafanyabiashara na watu wengine makini wako bize sana kuhakikisha watoto wao wanapata elimu bora ili wawarithishe utawala na biashara zao. Sisi wananchi wa kawaida tuko bize tukiambiana VETA ni bora kuliko UDSM. Wengine wanadai form six haina maana. Maskini atazidi kuwa maskini.
Kote nakubaliana na wewe ila pia nakubaliana na wanaosema form six haina maana ila Wanaobeza Elimu bado nawasikitikia Elimu haina Mbadala bado,tupeleke watoto shule tena shule zinazotoa elimu Bora na si Bora elimu.
 
Wanafunzi waliohitimu vyyoni, hawajengi viwanda, inatakiwa wakute viwanda, watumie elimu Yao, na, ujuzi.
Je viwanda vinajengwa na na ni?
Kampuni kama Tweeter, Microsoft, Google, Tesla, Azam, Dangote, Toyota, General Motors, Huawei., haya makampuni hayakujengwa na vijana kutoka chuoni fleshers, wadau wengi walihusika, Sera za, serikali,nk,
Ukiona kijana mwenye Degree yake mtaani,anasaga rami, kosa sio lake lote!
Kuna nchi zinatoa elimu Bora kama India, Nigeria, Kenya, na kote huko vijana wanataabika na kukosa ajira, sembuse elimu ya bongo,give the young guys a break jamani!
Fulsa ni finyu! Wahitaji ni wengi!
Kama kuanzisha biashara ni rahisi,basi kila waziri, mkuu wa mkoa, wilaya, makatibu tawala,makatibu wa wizara,wote wangekuwa wana makampuni na wametoa ajira! Maana kwao pesa sio, shida!
Prof J alikuwa mbunge, akalipwa 200+ milioni, mshahara wake ulikuwa 10M kwa mwezi, Ila alipougua, bila msaada wa serikali, angekuwa ameishakufa zamani!
Acheni utani, kuanzisha kampuni(sio uchuuzi wa kununua nguo china na kuuza kariakoo), sio sawa na kwends mjini kununua simu ya tekno
Sahihi kabisa kiongozi, jamaa wanawahukumu wasomi wetu bure tu, mpaka wengine wanaona walikosea kusoma.

Hii sio haki hata kidogo.
 
Huyu anachuki na wasomi hasa wa degree Mimi namjua kaajiriwa Kama security officer huko serikalini Ila yupo negative akisia degree holder anakula buku tano ndo anajisikia raha sana
'Sadistic mind' kama hizo ni hatari kweli kweli.
 
Kupanga ni kuchagua. Unajua Seminary za katoliki miaka hiyo pre form one ilikuwa mwaka mzima? Si kitu kipya. Wote hatuwezi waza sawa. Kwani wewe unachoamini na kukifanya kimekufikisha wapi?
 
Wasomi wanamshambulia mtoa maada Kwa sababu ya kunena ukweli mchungu.

Hadi 2023 Kuna fresher wanaenda kusoma BaED ya kiswz na his/geo je, Wana akili timamu au ?
Kuna dogo kaomba ualimu, nikamuuliza wewe unataka kufungua shule? Akasema hapana. Nikamuuliza una ndugu mwenye shule labda atakuajiri utakapohitimu? Akasema hapana pia.

Nikamwambia utajuta maisha yako yote kwa kusoma kozi usioitaka eti kisa tu upate mkopo.
 
Kwa sasa serikali ina wastani wa watumishi 700k, sekta binafsi wenye mikataba ya maana ni kama millioni 1 tu.
Tuseme hivi waajiriwa wenye maslahi angalau hapa nchini ni kama millioni 2 tu.
Wengi ni vibarua, nikimaanisha wengi wana mikataba mifupi .
Idadi ya wasomi inaongezeka kila leo.
Zamani ukiwa na diploma unaonekana msomi, sasa hivi hata wenye bachelor wanakaribia kuondolewa au kujiondoa kwenye kundi la wasomi.
Mtoto anamaliza darasa la 7, form 4, 6 au chuo mzazi alipaswa kumfundisha maisha ya kujitegemea.
Kuna kilimo, biashara au ufundi stadi.
Huyu mtoto baadaye akifika level ya juu ya elimu kama hataajiriwa kwa mkataba wenye maslahi hatakubali kuwa mtumwa kwa kuajiriwa mikataba ya hovyo. Badala yake atatumia kile alichofundishwa na mzazi wake. Ataanza hata kufuga kuku 20 wa mayai kuliko kwenda kufanya vibarua vya kitumwa.
Sasa mtoto humjengi katika msingi wowote unategemea nini ?
Hawa ndio wale wanapita kuzunguka na bahasha Kila siku. Mtu ana shahada ya uhandisi mitambo anakuambia nisaidie hata kazi ya usafi nipate hali ngumu.
Miaka 4 yako ya chuo ni void?
Ungetaka kazi ya usafi si ungeenda VETA upige miezi 3 fresh .
Mimi nimeanza kumfundisha mwanangu kuuza duka weekend na siku za kazi jioni amwagilie bustani ya mbogamboga na kulishia kuku.
Kuna wahitimu wengi wa degree wanafanya kazi za kulipwa 5000/=kwa siku. Huruma
Kupanga ni kuchagua. Unajua Seminary za katoliki miaka hiyo pre form one ilikuwa mwaka mzima? Si kitu kipya. Wote hatuwezi waza sawa. Kwani wewe unachoamini na kukifanya kimekufikisha wapi?
 
Katika birth day ya mwanangu kufikisha mwaka mmoja nimempatia zawadi ya shamba la heka 1 ambalo nimelinunua shilingi laki tatu
Nje ya mji huko pwani
Baada ya miaka ishirini na zaidi ni msingi wa maisha yake anaweza kuuza nusu na kufanya msingi wa kuanzia maisha
Elimu akiwa nayo siyo kwaajili ya kuajiriwa tu inaleta kujitambua na wepesi wa kusimamia mambo mengine

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Ofisi za umma kuna vilaza wengi sana hadi inatia huruma.

Kunahaja ya kufanya mchujo wa hali ya juu kwa watumishi wa umma hasa ngazi za halmashauri.
Kuna watumishi wa umma nimesoma nao vyuo, wote vichwani walikuwa hoi.

Sasa nikajiuliza huko ofisini wanahudumiaje wananchi?

Miwatu mivivu, mivivu imejazana kwenye ofisi za umma. Ndio maana walimchukia sana Magufuli, aliwachangamsha, kitu ambacho wavuvi hawakupenda.
 
Elimu bado ni muhimu sana, kwanza ni uwekezaji wa muda mrefu sana.
Brother hali sio nzuri! Hamasa ya Serikali na wadau wa elimu kwenye elimu haiendani na uwezo wa Serikali na wadau hao kuajiri wala kujenga mazingara ya vijana kujiajiri.
 
Huyu anachuki na wasomi hasa wa degree Mimi namjua kaajiriwa Kama security officer huko serikalini Ila yupo negative akisia degree holder anakula buku tano ndo anajisikia raha sana
Alicho andika ni sahihi au sio sahihi? Kazi yake haiusiani na fikra zake.
Raisi Samia aliekeza kule Zanzibar UVCCM kuwa nafasi za ajira ni chache watu wajifunze na kujiajiri. Kuna ubaya gani mieza 3 kabla hajaenda form one mtoto wako ajifunza graphics deisign au ususi au useremala au comp troubleshooting au ujuzi wowote ule akawa exposure na kazi.
Watanzania ni wabishi sana ila cha moto tunakipata.
 
Acheni utani, kuanzisha kampuni(sio uchuuzi wa kununua nguo china na kuuza kariakoo), sio sawa na kwends mjini kununua simu ya tekno
Nadhani hapa nfio mzizi wa kujadili. Kwa nini hatuwezi kuabzisha jampuni. Gata outdource company hatuwezi ?
Tujifunze sana kuhusu kampuni. Bila kujua elimu ya kampuni hatutatohoa.
Kuna Tech comp hui ndio uginjwa mkubwa sana kwa Afrika.
Una graduate physics ila huwezi anzisha kampuni ya kiteknolojia hata ku assrmble speaker za mchina ! Kampunu ksma Drlk wana assemble computer vifaa vingi vinaundwa na makampuni mengine.
 
Yaani unajiuliza hawa wanafunzi kuna siku wanatengeneza drones na kuwauzia nchi za nje
Yaani tumechoka kusikia elimu zetu ni huruma kwa kweli
 
Back
Top Bottom